green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Sanaaa! naomba nije pm asee mtoto wa singda utakua unameremeta wewe,mimi domo lenye zege naomba nisitiri
Mimi nimemaliza juzijuzi mughanga enzi za kina zadock swai.nyerere chini ya mwl.rama ambaye Sasa kahamishiwa ukombozi primaryUmetaja kona zote nnazo zijua ndio home huko Mitaa Utemini kwa watemi elimu nimeanzia hapo Iprisco (Ipembe enzi za Mwl Kone , Mahinya, Gunda
wali nazi maharage nazi
Naona umepasahau Bomani... Enzi zake kulikuwa na kiwanja standard cha basketball......Naujua mji vizuri kwa sababu wale wakina sele ndovu watoto wa chief senge wa pale utemini Ni mabraza zangu ukoo mmoja na kina tajiri mkulima wa kisasida,kipindi tunakua tulikuwa tunatembea nao sana.kwa mtu yoyote aliyekulia singida lazima awajue wakina sele ndovu.....
Kote huko idara ya maji,sido,namfua,utemini mpaka juu huko wilayaniNaona umepasahau Bomani... Enzi zake kulikuwa na kiwanja standard cha basketball......
Safi...Kote huko idara ya maji,sido,namfua,utemini mpaka juu huko wilayani
hapa boss majirani zako wa minga mnung'una, Muhawa karakana TunakusalimuSisi wa Mtinko tunaoishi Minga kwa Omari mabodi tunacomment wapi?
Hahahah mkuu jumamos njiapanda Kama kawaidaNjooni Singinda kuna bigijii za kuchimba Ndaghemunyanga, Kuna madaghas, Matogo [emoji23][emoji23][emoji23] 2002 nlivyorudi nlifaisi sana hii makitu ,maembe kama yote, mapera,zambarau kudadeki natamani nirudi kuwa mdogo niyasarandie, [emoji23][emoji23][emoji23] umri umeenda, mambo mengi sina muda wa kutoka karakana Kwenda mungu maji kusarandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Njooni Singinda kuna bigijii za kuchimba Ndaghemunyanga, Kuna madaghas, Matogo [emoji23][emoji23][emoji23] 2002 nlivyorudi nlifaisi sana hii makitu ,maembe kama yote, mapera,zambarau kudadeki natamani nirudi kuwa mdogo niyasarandie, [emoji23][emoji23][emoji23] umri umeenda, mambo mengi sina muda wa kutoka karakana Kwenda mungu maji kusarandia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wote watoto weupe halafu waoga hao wanacheka cheka muda wote
Ndege John mimi ni shemeji yako kumbe ujue!
Uwe na heshima nimemchukua dadako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee Singida raha kuku na mayai yakienyeji hatari sana home boy wa Makiungu hapa
Wazazi wangu walihama Singida nikiwa na miezi 2.Ijapokuwa mim nimezaliwa Singida lakin sijui kabisa lugha ya kabila langu na hali hii huniumiza miyo wangu sana.
TAFADHALI KAMA KUNA KITABU CHA KUTAFSIRI MANENO YA KINYATURU KWENDA KISWAHILI AU VICE VERSA NINAKIOMBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji870]Kweli umezeeka unaona haya kutega ndege?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app