Special Thread: Kwa Wazawa wa Singida tukutane hapa

Special Thread: Kwa Wazawa wa Singida tukutane hapa

Umetaja kona zote nnazo zijua ndio home huko Mitaa Utemini kwa watemi elimu nimeanzia hapo Iprisco (Ipembe enzi za Mwl Kone , Mahinya, Gunda

wali nazi maharage nazi
 
Umetaja kona zote nnazo zijua ndio home huko Mitaa Utemini kwa watemi elimu nimeanzia hapo Iprisco (Ipembe enzi za Mwl Kone , Mahinya, Gunda

wali nazi maharage nazi
Mimi nimemaliza juzijuzi mughanga enzi za kina zadock swai.nyerere chini ya mwl.rama ambaye Sasa kahamishiwa ukombozi primary
 
Naujua mji vizuri kwa sababu wale wakina sele ndovu watoto wa chief senge wa pale utemini Ni mabraza zangu ukoo mmoja na kina tajiri mkulima wa kisasida,kipindi tunakua tulikuwa tunatembea nao sana.kwa mtu yoyote aliyekulia singida lazima awajue wakina sele ndovu.....
Naona umepasahau Bomani... Enzi zake kulikuwa na kiwanja standard cha basketball......
 
Kote huko idara ya maji,sido,namfua,utemini mpaka juu huko wilayani
Safi...

Kuna mgahawa mmoja ulikuwa maarufu sana miaka ya themanini kwa kitendo cha kuuza uji kuanzia saa kumi jioni kila siku. Jina la mgahawa huo ni Mwanga.

Ningependa kujua ka bado upo na kama bado wanaendelea kuuza uji jioni....
 
Njooni Singinda kuna bigijii za kuchimba Ndaghemunyanga, Kuna madaghas, Matogo [emoji23][emoji23][emoji23] 2002 nlivyorudi nlifaisi sana hii makitu ,maembe kama yote, mapera,zambarau kudadeki natamani nirudi kuwa mdogo niyasarandie, [emoji23][emoji23][emoji23] umri umeenda, mambo mengi sina muda wa kutoka karakana Kwenda mungu maji kusarandia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah mkuu jumamos njiapanda Kama kawaida
 
Kweli umezeeka unaona haya kutega ndege?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njooni Singinda kuna bigijii za kuchimba Ndaghemunyanga, Kuna madaghas, Matogo [emoji23][emoji23][emoji23] 2002 nlivyorudi nlifaisi sana hii makitu ,maembe kama yote, mapera,zambarau kudadeki natamani nirudi kuwa mdogo niyasarandie, [emoji23][emoji23][emoji23] umri umeenda, mambo mengi sina muda wa kutoka karakana Kwenda mungu maji kusarandia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo dada nitumie namba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Singidaaa mojaaa
image_search_1525522459752.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipo kuna mtu nilisikia anauza ila nimemsahau jina ila Lissu naye alishakipigia promo siku za nyuma
Wazazi wangu walihama Singida nikiwa na miezi 2.Ijapokuwa mim nimezaliwa Singida lakin sijui kabisa lugha ya kabila langu na hali hii huniumiza miyo wangu sana.

TAFADHALI KAMA KUNA KITABU CHA KUTAFSIRI MANENO YA KINYATURU KWENDA KISWAHILI AU VICE VERSA NINAKIOMBA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom