Special Thread: Kwa Wazawa wa Singida tukutane hapa

Hayo makabila yote hatari kwa kugawa papuchi, Singidani nyie balaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu na rc au ofisi ya mtendaji
Nishapafaham hapo zamani nilkuwa nakuja kuogesha mbwa wangu kwenye happy ofisini.pia Ni njia yangu shotcut ya kushuka chini machinjioni.mitaa yote ya mji wa zamani naielewa coz nimesoma hapo.mughanga na sio zamani Sana Ni enzi za swai tu miaka ya juzi juzi
 
Cheyo, mbacho, kirima bar, Serengeti, scene lodge, kwa super kitasa ongezea nyingine mnyampaaa
Dah kwa super kitasa umenikumbusha kitimoto ya pale na sio POA .nakuja mwezi wa sita singida lazima nitembelee emano bar,mail sita, Kuna hapa pembeni ya namfua wanapaitaje pale?
 
O
Ok, mi nimekaa hapa ukikunja pembeni ya josho nyumba ya tatu nyeupe nyuma yake Kuna jiwe lefu
 
O

Ok, mi nimekaa hapa ukikunja pembeni ya josho nyumba ya tatu nyeupe nyuma yake Kuna jiwe lefu
Sijui Kama unamfam chalii mmoja anaitwa haridi Yuko mitaa ya hapa jirani ya duka la nje ya RC
 
Cheyo, mbacho, kirima bar, Serengeti, scene lodge, kwa super kitasa ongezea nyingine mnyampaaa
Pesaba house nimefanya fujo Sana aseee just imagine unakodi chumba week nzima unawapa 15000 au 20000 [emoji16][emoji16][emoji16]..singida maisha mazuri sana nakuja mwaka huu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…