Special Thread: Kwa Wazawa wa Singida tukutane hapa

Hujataja Wasukuma kwamba wamejaa kabisa singida vijijini na sasa pale mjini wachaga wanajaa na wanyaturu wanauza maendeo ya mjini na kukimbilia porini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujataja Wasukuma kwamba wamejaa kabisa singida vijijini na sasa pale mjini wachaga wanajaa na wanyaturu wanauza maendeo ya mjini na kukimbilia porini

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana wewe pia Ni mwenyeji wa singida,usingeweza kuyajua hayo yote.ni ukweli mtupu na hakika.
 
Kwa hiyo unataka nije nikae nile tu na kuangalia watu!! Kula wapi?
Hakuna vivutio vyovyote ambavyo hata nyie wenyeji mnapenda?
 
Nimefika leo kutoka Dodoma,nipo huku Regency Singidani nakula bia!

Ndege John hauna dada yako mzuri mzuri uniweke!
Mkuu unakula upepo wa singidani Safi sana.bahati mbaya Sana dada zangu wamekimbilia dar na Arusha waliobaki wote wanalea Sasa hivi Wana watoto kuanzia wa 3 na kuendelea..sidhani kama watakufaa wengi wameolewa
 
Sawa sawa Mkuu!

Tatizo mida kama hii huwa kuna kibaridi kikali sana sema Regency wamejitahidi kupatengeneza kupunguza upepo tofauti na kipindi cha nyuma wakati haipo nilikua kila nikifika Singida napenda kukaa Infinity kulikua na baridi sana kutoka ziwani,unakunywa bia huku unatetemeka!
 
Kwa hiyo unataka nije nikae nile tu na kuangalia watu!! Kula wapi?
Hakuna vivutio vyovyote ambavyo hata nyie wenyeji mnapenda?
Kiukweli siwezi kukudanganya hatuna vivutio vingi
Geographical tumepitiwa na bonde la ufa kutokea manyara linapita bondeni mpk kule mgori..
Natural attraction sio nyingi nachojua Kuna mapori ya hifadhi mbuga inaipita karibu na mpk wa kuingia mbeya huko wilayani manyoni..
Water bodies Ni chache kwa bonde la Kati internal drainage hakuna mto unaotiririsha maji mwaka mzima yote Ni seasonal kasoro miwili TU river kou ambao upo upande wa mbulu..tuna mabwawa mawili mjini Kati singidani na kindai ambayo hayatoi samaki wengi..
Mlima hanang upo kateshi ila view yake nzuri ukiwa sgd unaiona
Wanyama tuna fisi wapo wengi ndo ambao nimewaona Sana nje ya mji kidogo..mji umezungukwa na majabali makubwa wenyeji tunayaita n'gongo
 
Hivi Serengeti Pub bado ipo vizuri,kitambo sana miaka ya 2009 ndio nilikuwepo hapo,nusu nibakwe na machangudoa,si kwa kunishobokea kule
Sasa hivi ndo imerudi kwa kishindo.kuna Malaya pale kuliko sehemu yoyote mjini
 
Jee MO nae ajee ??
Bahati yenu ndege JOHN bilionea kijana hakuwasahau !!!
Ametusaidia Sana kufanya finishing ya shule za kata
Aligawa milioni 100 kwa kila shule na mifuko ya cement..namshukuru Sana japo sijui Kama zile hela huwa Ni Safi au ndo zinapigwa tu serikalini then zinarudi Kama misaada.siwaamini magabacholi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…