ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
-
- #61
Sijisifii lakini kiukweli Nina dada wazuri Sana bahati nzuri tu wote wameolewa ningekupa hata zawadi wawili
HahahaKwahiyo mdaka chozi wa auntie baridi ikiwa kali kila mkoa unaoenda unataka kukamatia
Ha ha ha... Usiweke fikra hizo kbs!!Ametusaidia Sana kufanya finishing ya shule za kata
Aligawa milioni 100 kwa kila shule na mifuko ya cement..namshukuru Sana japo sijui Kama zile hela huwa Ni Safi au ndo zinapigwa tu serikalini then zinarudi Kama misaada.siwaamini magabacholi
Makukuru.mahanguuView attachment 1050015
Waoooh.asee nimefurahi SanaNipo hapa mtoto wa Fd4ceeee kama unaelekea manguanjuki kwa mzee miti matreeee mzeee ya fd4ceee
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheyo, mbacho, kirima bar, Serengeti, scene lodge, kwa super kitasa ongezea nyingine mnyampaaa
Hawajakwa ile kinembe? Kama bado wanafaaa kwa matumizi husika.Sijisifii lakini kiukweli Nina dada wazuri Sana bahati nzuri tu wote wameolewa ningekupa hata zawadi wawili
Hahaha Mara ya kwanza sikujua Kama ubungo ndo stand ya zamani.nikawa najiuliza ubungo Inakujaje singidaKirima wanachoma nyamaa jaman bila kusahau kuku wa ubungo palee jionn
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwa super kitasa umenikumbusha kitimoto ya pale na sio POA .nakuja mwezi wa sita singida lazima nitembelee emano bar,mail sita, Kuna hapa pembeni ya namfua wanapaitaje pale?
O
Ok, mi nimekaa hapa ukikunja pembeni ya josho nyumba ya tatu nyeupe nyuma yake Kuna jiwe lefu
Watoto wa mama Salma [emoji849]
Hivi Serengeti Pub bado ipo vizuri,kitambo sana miaka ya 2009 ndio nilikuwepo hapo,nusu nibakwe na machangudoa,si kwa kunishobokea kule
Waoooh.asee nimefurahi Sana
Hahaha Mara ya kwanza sikujua Kama ubungo ndo stand ya zamani.nikawa najiuliza ubungo Inakujaje singida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bwana nyeusi mzee wa mamillionHahaha
Usitake watu wanikimbie kama bwana Nyeusi,nilikua nataka wakupiga naye story tu..mnapokua wengi kidogo hata kibaridi kinapungua