Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Warangi ni kondoa siyo singidaWarangi mnaitwa huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warangi ni kondoa siyo singidaWarangi mnaitwa huku
JabohaHabari Jampindi
Hivi ndovu si anaishi Arusha?Warangi kwao Ni kondoa dodoma..singida wapo wanyaturu katika wilaya za singida vijijini.wanyiramba wapo iramba.wanyisanzu wapo mkalama na iramba.manyoni sijui lakini najua kuna wagogo kiaina.. warangi singida mjini wapo wengi Ni sanasana Wafanyabiashara katika masoko
Ah omary ana magari sanaSisi wa Mtinko tunaoishi Minga kwa Omari mabodi tunacomment wapi?
Sehemu gani
Ndege John mimi ni shemeji yako kumbe ujue!Nimezaliwa singida mjini nimesoma shule ya msingi Mughanga hapo hapo singida mjini.secondary nikasoma hapohapo singida mjini shule za kata alizotuchangia Sana mbunge dewji. high level nikasoma pia hapo hapo singida shule Moja inaitwa ilongero mwisho chuo nikaja nikasomea dar.so nauelewa mkoa wa singida wote,mitaa yote kuanzia minga,karakana,kititimo,Mungumaji,mwenge,stand mpya,misuna,stand ya zamani,kibaoni,majengo,soko kubwa,mji wa zamani,ginnery,sabasaba,mtipa,unyankindi,mitunduruni,Yugo,mnada wa zamani,maduka Saba,ukombozi,sokoine,mandewa na Mitaa yote hunidanganyi,mang'ongo yote na majabali yote ya hapo mjini nayajua
Naujua mji vizuri kwa sababu wale wakina sele ndovu watoto wa chief senge wa pale utemini Ni mabraza zangu ukoo mmoja na kina tajiri mkulima wa kisasida,kipindi tunakua tulikuwa tunatembea nao sana.kwa mtu yoyote aliyekulia singida lazima awajue wakina sele ndovu jamaa ni mkubwa Sana kaenda hewani alipewa Hadi kibali Cha kuwinda porini.amekimbiza Sana miaka ya nyuma hapa pale mkoani wapo watu wengine maarufu Kama kina idada,malingumu,akwii,n.k
Matajiri wengi wa mkoa wa singida Ni wachaga ndio wenye madukwa makubwa makubwa pia hata wenyeji wanyaturu tunamiliki viwanda vya kukamua alizeti
Singida tunakunywa Sana mbege maeneo ya mwenge,mtukuru unapatikana maeneo mengi ikiwemo daima bar na kule kibaoni ndio Chaka la wahuni wote wanakunywa gongo na pia highlife inafanya vizuri sana,sigara tunazotumia Ni Winston na safari na club.msela akinywa bia amekunywa eagle na nzela banana zinafanya vizuri Sana.ukija kuanzia karakana na majengo wanapenda Sana gomba kutokea arusha Yale ma bus yanaingiza mzigo wa mrungi mapema TU saa nne au sa tano. karibu kila kijana anakula dawa wenyewe tunaita kamchongo ugoro.
Nyama pia tunakula Sana kila juma mosi tunaenda njiapanda kula nyama mnadani.matunda yetu sanasana Ni furu,mapera,malala(zambarau),sasati,lade na matogo kutokea nje ya mji au vijijini huko.mayai ya kienyeji yapo ya kutosha ukiomba ukusanyie Ni shilingi Mia mbili tu yai moja.kuku usiulize kutokea mgori au makiungu utapata kuku wa kutosha tu.
Kwa sasa hatuna viwanja vingi vya starehe tuna KBH Ipo singidani.tuna night club kwa nyokaa iko hapa stand ya zamani.sehemu za starehe Kuna Cheyo bar, mbacho, kirima bar, Serengeti, scene lodge, kwa super kitasa kitimoto ya ukweli
Kwa upande wa michezo tuna vipaji vingi Sana hasa kwenye riadha.Alphonse mwanariadha aliyepeperusha mbendera ya Tanzania na kushika nafasi ya tatu London mwaka Jana anatokea mampando tarafa ya mungaa wilaya ya ikungi.wapo wengine wengi pia timu ya singida ilifanya vizuri ilipocheza hapa Kenya.mpira wa miguu bado TUnajivuta.mpira wa wanawake unafanya vizuri Kuna vipaji sana.tuna singida United ipo ligi kuu lakini iko taabani
Kwenye upande wa siasa..kiukweli sgd Ni ngome ya CCM..kwa mfano uchaguzi wa ubunge Jimbo la singida mjini aliloliacha mo dewji mpinzani alipata kura 5000 TU wakati wa CCM alipiga kura zaidi ya 50000.vijana wengi hawana mwamko na Mambo ya siasa
Kwenye upande wa elimu tuna shule maarufu Kama mwenge high school ya advance level..nyingine za shule ya msingi maarufu Ni nyerere, Mughanga,ipembe,sumaye,misuna, sekondari pia zipo kila kata
Afya tuna hospital mpya ya rufaa iko mandewa nje kidogo ya mji
Mji unakuwa Sana hasa maeneo ya kititimo na mungumaji.kuelekea na puma mji haukui Sana
hayo Ni kwa uchache sana kuhusu mkoa wangu wa singida Kama una swali lolote kuhusu mkoa wa singida uniulize hapa
Huu uzi ungenoga ungetupiamo hata kapicha [emoji125]
Nyie watu wa singda madem zenu wanakuaga wazuri sana na watamu,ila sasa ndio maharage ya mbeya, maji mara 1
0rWrite your reply...
Hahahahhaha umenikumbusha mbaliDallas ya kitambo kidogo.kiingilio jero wanawake bureView attachment 1050058View attachment 1050059
sema Huko singida wadada wa huko Wazuri jmn ukiagiza House girl SINGIDA mkeo ajipange...Haji mbaya unaambiwa
Nimeshindwa Mlenda tu BWANA hata kwa viboko hunilishi...sema Wadada wa DAR wakikutana na Mkaka wa singida PURE alotoka kule show yake si ya kitoto maana vyakula vya kule Hartari tupuuuuuu...Hamnaga mnyaturu ana ukosefu wa Nguvu za Kiume HAIPO HIYO
Yapo boss, Serengeti,Rhode night club, NYOKAA LOUNGE,skyway night club, ila watoto siyo wa kushato