Wewe huwezi kuwa shabiki wa BarcaMimi ndio shabiki WA damu WA Barcelona WA kweli
Barcelona VS RCD Espanyol
Messi best Goal of All Time | GOLI BORA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA NA HALITAKUJA KUTOKEA
mkuu za masiku aiseee ulipotelea wapi Bora umerudiHuyu jamaa hafai, kasababisha watu wengi wanaomchukia wapate madonda ya tumbo...
Mtoto hajaanza kutambaa anamjua messi..this iz amazing
mkuu za masiku aiseee ulipotelea wapi Bora umerudi
hakika kukutana tena ni jambo la kumshukuru Mungu ila usipotee tenaSalama kabisa @ PNC. Nipo kamanda wangu nahangaika na maisha tu kaka ndio maana nikapotea miezi kadhaa ,tunashukuru Mungu tumekutana kwa mara nyingine tena.
Umeongea ukweli messi ukitaka kumpoteza weka gaucho sio ujinga mwingine wowote inatoshamessi mbabe wake ktk ulimwengu wa soka ni GAUCHO TU wengine waliobako sijui ronaldo wote makapi
hakika mkuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] huyo mkata viuno hana ishuMessi,Maradona,pele,Zizzou,Requelme! weka mbali na watoto.
Tukiweka ushabiki mandazi pembeni, kisoka King Messi and el diego armando hakuna wakuafikia hata nusu yao, huyo Gaucho brazil wenyewe hawamjui na wala europe hawamtambui labda baadhi tu ya wasiojua soka.
Sio kosa lako umeanza kuangalia futbol mwaka 2011.Tukiweka ushabiki mandazi pembeni, kisoka King Messi and el diego armando hakuna wakuafikia hata nusu yao, huyo Gaucho brazil wenyewe hawamjui na wala europe hawamtambui labda baadhi tu ya wasiojua soka.
Team Messi imefikia hatua ya kumponda gaucho wakat amecheza mbele ya Messi na among'ara, ukimponda gaucho kwajili ya Messi utakuwa na mtindio wa ubongohakika mkuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] huyo mkata viuno hana ishu