Special thread : Messi Magics

Messi na mm nan bora maana yy ana bori la vitendo yaan action on the ground, but mm ni action mdomon so mm n bora sana
 
Acha kupiga kelele wewe.. Hakuna kama gaucho usifuate magazeti ya jana...
 
Acha mbwembwe, kama umeanza kutazama soka zaman huwezi kuwa mbishi kukubali dinho alikuwa mtu mwingne
. Messi akacheze
 
Acha kupiga kelele wewe.. Hakuna kama gaucho usifuate magazeti ya jana...
MKUU watoto humu hawajawahikumwona dinho katika ubora wake! Hajawahi kutokea mchawi wa kandanda chini ya jua ambaye alikuwa na uwezo wa kuutawala na kuuchezea mpira kama atakavyo! Fundi wa kuburudisha asiyekuwa na mfano! Ingia you tube utafute clip zake hutojuta!
 
Wanaotaka Messi ahame.. wahame wao kwanza makwao then Messi atahama barca. Messi tayari yupo kwenye club bora ya dunia..unataka ahame aende club gani?? Ikiwa maendeleo/mafanikio katika soka ni pamoja na kuhama (kununuliwa) kutoka club ya chini kwenda kwenye club ya kiwango cha juu. Mf; G. Bale alinunuliwa kutoka spurs kwenda R.madrid, C. Ronaldo alitoka man u kwenda R. Madrid. Messi kwa ubora wake ameanzia katika club ya juu tayari na bado ni bora, je, mnataka aende club gani ambayo ni bora Zaid?? Je mnataka atoke barca aende spurs?, aende Chelsea?, aende man u? That's nonsense
 
Acha mbwembwe, kama umeanza kutazama soka zaman huwezi kuwa mbishi kukubali dinho alikuwa mtu mwingne
. Messi akacheze

Wabongo most of them tunaongea kwa kubahatisha,,,2napenda kumfagilia mchezaji bila facts,evidence and records,,,,Mchezaji mwenyewe hajawahi kupewa jina lolote alafu una-mcompare na mfalme? Are you serious kamanda??? Mkuu kama wewe ni mtaalamu wa kuchambua soka ebu mtafute hata TOP 5 huyo kicheko kama utampata najuwa hakuna,,, na ka utampata lete feedback hapa, alaf niwaambie mods wanipige BAN la kudumu.

MESSI=MCHAWI
MESSI=MFALME.
NK endelea utazipata sifa zake

Ulishawahi kuona mwalimu wa chekechea akimfundisha PROFESSOR? Haitowahi kutokea

huyo kicheko mcompare na Iniesta Aguero kaka nk. Kwa cr7 hajagusa,, kwa Mfalume ataweza?
 
Haa kupewa jina ndo fact ya mchezaji kuwa bora? Torres aliitwa el.nino so means ni bora kuliko gaucho just because hakupewa jina?? Dihno hakuwa tu mchezaji wa mpira bali pia alifanya mpira uwe burudani
 
Yeah
Ni ni kwasabab katika club ndo wanacheza mara kwa mara kulinganisha na tim ya taifa
Mfano

Mechi kwa mwaka
Club:mechi 64
Taifa:mechi 2
Ni akili ya kawaida2
 
hakika mkuu [emoji122] [emoji122] [emoji122] huyo mkata viuno hana ishu
Gaucho Gaucho...Hao kama sijaangalia michezo ya hao wote wawili basi ndio watudanganye na kuhusu Gaucho,Gaucho atabaki kuwa bora kwa kipindi chake na Lione Messi Atabaki na heshima yake kubwa sana.Na kwa mtu anayefahamu mpira bila kelekele ataelewa utofauti wa hao watu wawili.Gaucho alicheza na Messi na alikiri kuhusu skills za Lione Messi"It was the players who asked [Frank] Rijkaard to promote Messi to first-team training. Cristiano Ronaldo is a very complete player, but Messi is better because he has magic".
Tuache mahaba niue........
 
KING GAUCHO ni habari nyingine kabisa KAMWE hawezi kufananishwa na Messi. Yuko anga ya pekee kabisa.


messi mbabe wake ktk ulimwengu wa soka ni GAUCHO TU wengine waliobako sijui ronaldo wote makapi
 
Acha mbwembwe, kama umeanza kutazama soka zaman huwezi kuwa mbishi kukubali dinho alikuwa mtu mwingne
. Messi akacheze
Dinho kacheza tunamuona hadi kaacha.. so inategemea wewe nini umekipendea kwake na si vinginevyo... Beckham alipendwa kwa zile krosi zake tu, Di canio alipendwa kwa miguvu yake na anavyokamia game,Inzhaghi alipendwa kwa kufunga magoli anytime hakucheza mbali na goli, Baggio pia alikuwa na uwezo wote,Vieri alipendwa kwa Speed yake na nguvu zake kufunga Magoli, Ginora alipendwa kwa uchezaji wake so kila mchezaji alikuwa na uwezo wake lakini mwisho wa Siku kufunga magoli ndio wakabakia watu wa juu kwenye soccer like Alan Shearer,Etoo,Rivaldo,George Haghi,Shevchenko,Martin Darlin,Mark Viduka,Thiery,Ian Wright,John Barnes,Ian Rush n.k Kuna watu Dimba walikuwa wanatawala mno kina Deco n.k Dinhno Bahati yake alipata Timu nzuri haswa vilabu na Timu ya Taifa nayo ilimbeba si kwamba Game nzima alikuwa anasumbua kwani mechi kibao alifungwa dhidi ya Timu pinzani na alipokonywa Mipira alicheza dhambi n.k uzuri wake aliweza kufunga magoli sehemu ngumu au ambazo hazitegemeki au watu washakata Tamaa. So Inategemea Nini unapenda katika Soccer Either Magoli au Chenga? Kilele kikuu kwa Wachezaji Bora huwa ni Makombe Makubwa na Magumu.... sio FA Cup...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…