Special thread : Messi Magics

Haa kupewa jina ndo fact ya mchezaji kuwa bora? Torres aliitwa el.nino so means ni bora kuliko gaucho just because hakupewa jina?? Dihno hakuwa tu mchezaji wa mpira bali pia alifanya mpira uwe burudani


Gaucho kwa cr7 hagusi.kwa mfalme wa soka ataweza?

Messi ni mfalme/mchawi wa soka...na gaucho ni nani?

Mfalme kamzidi kila ki2 gaucho, ufundi,anauchezea mpira anavyotaka like maradona enzi zake ukija kwenye magori ,makombe,ballon dor , ustaarabu ndani na nje ya uwanja, na takataka kibao tu ambazo alishindwa kipindi chake messi katimiza.na anapendwa zaidi ya mchezaji yoyote unayemujua.

All in All mfalme hafananishwi na vitakataka.

Alafu nimekuambia niletee huyo gaucho.je yupo top 5???????? Kimyaaa, munabaki kusema gaucho ni bora kwa lipi?


Messi
El diego
Pele
Zidane
Requelme n.k
 
KING GAUCHO ni habari nyingine kabisa KAMWE hawezi kufananishwa na Messi. Yuko anga ya pekee kabisa.

Jamaa alikuwa na mambo mengi ila hana madhara uwanjani

Ni kama kuwa na gari lenye kelele nyingi ila halikimbii
Ndo maana adi CR7 yuko juu yake kimpira
 
Jamaa alikuwa na mambo mengi ila hana madhara uwanjani

Ni kama kuwa na gari lenye kelele nyingi ila halikimbii
Ndo maana adi CR7 yuko juu yake kimpira

Umeongea point kiongozi__ Huyu misifa hana lolote__inshort hakuutendea mpira vilivyo na wala hakuziletea mafanikio timu zake, zaidi alikuwa anatingisha matako uwanjani. Harafu eti analinganishwa na king Messi hahaha jamani. Alinganishwe na wakina henry okocha batistuta crespo na wengine.lakini sio mchawi wa soka ni aibu mno messi akisikia analinganishw na huyu atalia sana
 
Kuna watu tunachangia bila hata kuwa na facts...Lazima ujue nn unasema jamani...Fanya study ya kutosha kisha useme sio tu unakurupuka "Hakuna kama Gaucho" ....Umefanya study ya maana mpaka useme hivyo au unabwatuka tu?? Unapotaka kuyoa maoni yako fikiri kwanza, kuwa na facts kibao za kutetea hoja yako na toa mifano hai na pangilia hoja zako ili zidhibitishe unachosema.
" Oo Cr7 bora" Kivipiii?
"Oooh Gaucho ni noma" .....kwa nn?
Tusilopoke tu jamani.
Ukisema Gaucho noma haya sema kwa nn unafiliria hivyo kwa kipimo gani, takwimu zipi, na toa mifano ya wataalamu wa soka wanaosema kama ww!! Mana isiwe ni wewe tu unasema hivyo.

Kiroho safi lakini wandugu!
 
Tumia lugha ya staha! Wamiliki wa vilabu alivyocheza wanamkubali kama mchezaji mkubwa wa siku zote! Hii tabia ya kuangalia mpira tena saa nyingine kwenye mabanda afu tunatoa lugha mbovu kama wamiliki wa vilabu haiko poa. Ukichangia kistaarab utaeleweka pia.
 
We jamaa una mahaba hadi unaboa yaani... Hujui soka, kawadanganye huko mtaani kwenu sio humu
 
Kwangu Ronaldinho atabak kuwa Mungu wa soka....huyu jamaa alikua fund haswaa...anaujua mpira.. Tena sana
 


Kiongozi hapa 2naongea ukweli wa maneno. Hatutaki blahblah. Nasema ivi gaucho ni mtoto hata kwa iniesta sasa iweje munamlinganisha na mchawi wa soka? Msome vizuli hapo juu mkuu wakanda kaongea mengi na ukweli mtupu

Huyo Gaucho ni nani hadi museme yeye ni noma??
Na kwanini yeye ni noma? Tupe facts,evidence,records na statistics mkuu.

Kila day tunarudia haya maneno about gaucho lakini hakutokea mtu akaweka ukweli hapa.sisi wa tanzania cjui 2koje jamani. Ebu tunaomba ukweli wa vitu alivovifanya hadi yeye afikie kumzidi profesa wakeee!!!!!!!! Je ana bollon ngapi, la liga ngapi, uefa ngapi uchezaji bora wa dunia mara ngapi n.k? Funguka nasubili mkuu
 
We jamaa una mahaba hadi unaboa yaani... Hujui soka, kawadanganye huko mtaani kwenu sio humu

Poa poa mkuu mie Cjui soka. Weye unaejuwa naomba uniletee huyo kicheko. Je yupo wapi kwenye topu 5?

Mimi ukiniomba Mchawi messi kwenye topu 5 nitakuretea bila shida.

Ukiniomba Diego maradona nitakuretea

Ukiniomba pele nitakuretea

Ukiniomba zidane nitakuretea.


SASA HUYO MUNAYESEMA NI NOMA JE NA YEYE YUMO KWA HII LIST YA HAWA BABA ZAKE? NAOMBA ULETE FACTS!!!!!!!!!!!!
 
Kwangu Ronaldinho atabak kuwa Mungu wa soka....huyu jamaa alikua fund haswaa...anaujua mpira.. Tena sana

Fundi kwa lipi???? Je Kwenye topu 5 yumo? Leteni facts wazee ili tujuwe ka kweli alikuwa noma. Cc wabongo maarufu sana kucfia ki2 bila facts, wakati wenze2 wa uraya wanalijuwa soka zaidi ye2 alakini hatukuckia wakimtaja kicheko
 
Akileta nahama Fc Barcelona
 
Akileta nahama Fc Barcelona

Aitolee wapi? Nilishawambia hawa ndugu zangu. Wakileta facts ka kweli na yeye yumo top 5 naomba mods wanipige ban la kudumu. Alakini hajatokea hata 1.

Kwahyo 2wazowee 2 mkuu wakisema " gaucho alikuw fundi,gaucho alikuwa ni noma" haya ndio maneno yao ya kila day.
 
Ha ha ha ha ha umeongea ukweli mtupu
 

Kamanda binafsi mjadala ufikie tamati. Mchawi kama kawaida yake yupo juu na ataenderea kuwa juu.LEO MESSI then DIEGO ARMANDO anafuatia PELE

Huyo gaucho co mahala pake hapoo. kwa mbali ungemweka YAZID ZIDANE ZIZZO. Huyo gaucho mashabiki wake wa kuhesabu ambao hawafiki hata 20 humu jamii forrums, ukiwaomba FACTS hawaleti.na ukiwaomba watuoneshe kwene top 5 km kweri yupo hawaleti. Sasa yeye ni noma kwa lipi???

2kianzisha Thread nobody atakayekuja na ushahidi hapa trust me kamanda. Unless utackia GAUCHO NI NOMA,GAUCHO NI FUNDI, GAUCHO NI NABII.Aisee sisi raia wa MAGUFULI 2nakazi jamani .πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Kabla ya kuendelea, hivi unajua gaucho ana balon dor ngapi.? Na wakati anazichukua alikuwa akishindana na wakina nani.? Na unajua ana tuzo ngapi za mchezaji bora wa ulaya.? Unajua ana world cup ngapi.?

Na vigezo vyako vya hiyo unayoiita top 5 ni vipi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…