Special thread : Messi Magics

Mbabe ktk kuogelea na kujiremba kwenye dressing table. Messi is the only king of football now.
Mkuu habar za masiku mbona ulipotea sana naona umerud ufunguz wa LA liga
 
Mbona mnafanya bidii sana kumnadi huyu mhaini (mkwepa kodi)?
 
Ni kweli kila mbabe ana mbabe wake,na unapomzungumzia Messi wababe wake walishapita kina Diego A.M na Pele.
Mkuu huwezi kucompare na kitu ambacho hakiexist Nakupa Elimu tu kidogo ili siku nyingina usikose.. Wakati Pele anakipiga Maradona hakuwepo na Wakati Maradona anakipiga Messi hakuwepo na sasa Messi Anakipiga Ronaldo yupo so ukweli unabaki pale pale Ronaldo ypo juu
 
Mbabe ktk kuogelea na kujiremba kwenye dressing table. Messi is the only king of football now.
Unamaanisha hivyo?

Simba kapakatwa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
messi mbabe wake ktk ulimwengu wa soka ni GAUCHO TU wengine waliobako sijui ronaldo wote makapi
Mkuu Soccer umeanza kulitizama kipindi cha Manjino? Hujawahi sikia kuna mtu alikuwa anapiga chenga timu pinzani yote hadi goli lao Somebody Tostao...

Gaucho hajawahi itwa Mchawi wa Soccer... Pole Sana... and then kumbukeni Mpira ni Magori na sio kingine like chenga or mather paka Bila magoli wewe ni zumbukuku hata Zenji hupiga Chenga wanawaleni
 
Ronaldo juu ya messi!!! Kwa kipi mkuu.

Usijaribu kufananisha robot na andunje mkuu, kale kajitu kafupi nux sheikh wangu, naongea km mpenz wa mpira, kama mwanasoka, hakuna mwanasoka yoyote duniani atachoka kumtizama andunje dunian.. Ni mchezaji wa kufanya mambo magumu yawe rahisi, kama lubricant vile..
Namuheshim mnoo cr7, still ana sifa zake za kipekee, lakn mtu mfupi yupo juu yake.. Kwenye timu yangu ningetaman kuwa na ronaldo na messi, ila km nikuchagua mmoja, nampick andunje kaka.
 
Ronaldo na Messi ni sawa na mwanafunzi mwenye akili sana na mwanafunzi asiye na akili nyingi but anakesha kusoma huku miguu iko kwenye maji..

Messi hatumii nguvu kufanya maajabu na ndio maana ametulia sana na hana mbwebwe za ajabu.
 
Ronaldo na Messi ni sawa na mwanafunzi mwenye akili sana na mwanafunzi asiye na akili nyingi but anakesha kusoma huku miguu iko kwenye maji..

Messi hatumii nguvu kufanya maajabu na ndio maana ametulia sana na hana mbwebwe za ajabu.
Kuna Maajabu mangapi kakufanyia utueleze... its mean hakuna aliyeweza kufanya hadi yabatizwe Maajabu
 




What are the qualities of King Messi which makes him different from other players?

Well, this could be a long answer!! But I will try to be precise. First and foremost, King Messi is damn talented!! There are a few things you can't learn, you are born with them. Positional awareness, reflexes etc are such things. King Messi is a natural. His skills are unmatched. When he has the ball, you just know that something is going to happen. I will tell you about an incident. One night, I was watching Barca vs Valencia and my dad comes and starts watching the match with me. He does not follow football at all, he might have heard about Barca for the first time that day! But, 10 minutes later, he says, pointing to Messi "yeh main player lagta hai, accha khelta hai!" (translated - He seems to be the main player, he is playing well).

Secondly, it is the hunger, passion for the game. Messi wants to play every second of every match. He hates it when he is rested or substituted. This has even led to problems for his team managers. But I guess King Messi is happiest when he has a ball on his feet.

Most importantly, he is a team player. For him, it is always "team first". He drops back to retrieve the ball and then plays as a playmaker, feeding to other forwards. When you compare his goals and assists with any other player, there is no equal. You might find some players with more assists, Ronaldo might score more goals than King Messi, but there is no one else who does both the things so consistently and amazingly. His team just plays on a different level when he is on the pitch, even if he is not involved in the move. That's the effect he has on his team's morale and confidence. I can go on and on but I hope you got the gist.
 
I was read your comment very careful but i realize the your Dad is Indian acha amne Samne kesahai ''Gando'' Hao na Soccer wapi na wapi! ndio kwanza wanapromote soccer yao kwa kuwachukua vikongwe waliovuma kwenye ligi kubwa mbali mbali Duniani kuwakuza Wahindi youngester wapate hari.

Sasa when you talk about this kid called Messi actuary his is not a King thas why i ague with other guys it this forums. Uking kapema na nani? Because till today and you and others we know Pele is a only King of Football. So Ronaldo or Messi we can call them Prince if you like.. Hakuna King wawili.

Messi is talented player i agree with you but Football ni kuscore Goal, vingine ni technique za how to score either in hard way or easy way or Both, so ukifika hapo utawacount footballer wengi ambapo Ronaldo and Messi Katika age yao wamekuwepo na Ronaldo amekuwa mbele miaka miwili zaidi ya Messi katiaka kuwacomparison hao wawili...

Messi alipojiunga Barca kulikuwa na wakali zaidi hapo ambapo hakuonekana hadi baada ya miaka kadhaa tena Ronaldinho alipoondoka, na Ubora wa Mchezaji always unahitaji support kwa other players na wale Wakali wanapokuwa timu za kawaida ndio hunuliwa na timu kubwa kutengeneza timu Bora za kishindani... Ndio Maana kuna wachezaji hata wafane nini sababu wapo timu zaisizo bora hukaa huko na kupotea but wengine wamekuwa na vipaji zaidi ya hata hawa wawili, See capability ya Mchezaji David Ginola,Benito Carbone,Johah cruyff,Michael platini, Garrincha huyo nasikia alikuwa balaa miguu yake kama ilikuwa na sumaku, Suarez ni Mchezaji hatari sana sema Tabia mbaya, na ameprove yupo juu ya Messi, So how come Messi become king when his team mate play Suarez play better than him for the past two years!

Mambo ya Assist lazima yatokee kwa kila mchezaji sababu mpira unaanza kwa kipa so team nzima ina husika kuassist othe ways wabaki wawili Messi aanzishe apande na mpira and then ampasie mwenzie afunge basi itakuwa assist yake haswa... mambo ya Assist sometimes ni sifa za kijinga na za uselfish, Mpira ni Pass pass Goal.

Ni Jambo Jema umesema Ronaldo ana score more goal than Messi hapo umefunga Mjadala mzima kwa Kukili kwako Thanks umekuwa Muwazi....
 

😀😀😀 Duh watu wa dizani yako watakiwa ukae JF atleast hata 2yrs uufahamu vizuri mpira otherwise tutapotezeana muda to.....

Yaani maelezo mengi utazani unamuandikia mkeo au mmeo barua!!!!

Muda wote wadau wanapoteza muda wao kubishana na wewe kumbe lengo lako lilikua ni mchezaji bora wa magoli, ahaa " nilizan upande wa Skills na mengineyo" na hapo ni jinsi gani umeonyesha kumkubali huyu kiumbe ndiye the King 4 anything......
Tumekuelewa mkuu thanx 4dat,,,,,


The king Lionel Messi uses a lot of body movements. He has extremely good dribbling skills and as a defender it’s difficult to defend him. He can pass more than three defenders at ones. His shots are very good and he can shoot from every distance. In a minimum of space he shoots perfectly the ball in the right corner. We have placed the best tricks of King Messi on this site and many more.

Huyu jamaa ana-compilation Skills, goals.... na anapocheza unahisi Raaha murua hata wewe umeonyesha ushamkubali sana tu isipokuwa wadau hawajakuelewa unachomaanisha.

Kuhusu Pele, hayo ni mawazo yako binafsi.wakati Alfredo de stefano alikuwa bora zaidi ya Pele, pele media zinampamba bt hakua na kivutio chochote kile.

So The King ushakubali ndiye bora kuwahi kutokea 4 anything

Na Ronaldo ushakubali ndie bora wa magoli mengi.

Vizuri sana kwa kukiri kwako, na mjadala umefunga thnx 4dat.....

Poteza mawazo kidogo;

Share
So how did he do it? Is his dribbling ability innate and genetic? Or is it something you can learn? If it's the latter, can sports science decode King Messi’s abilities and create a blueprint to produce a team of dribbling phenoms? The answer—as you’d expect—is a little complicated, but the insight is fascinating.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…