Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado mnaendelea kumtukuza Messi?
Poleniiiiiii
Habari ya dunia ni CR7 baby[emoji108]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado mnaendelea kumtukuza Messi?
Poleniiiiiii
Habari ya dunia ni CR7 baby[emoji108]

Huyo baby wako ufalme atakuwa anausikia to, wakati mwenzie ashakua mfalme kitambo tena😀😀
 
[emoji35] [emoji35] [emoji35] we ndio umemjulia kwa sifa hyo????acha mambo ya ajabuu na uongoo
Uongo upi? Kwahiyo wamemsingizia kwa swala la kukwepa kodi? Kama ana sifa nyingine unaijua wewe....mie naijua sifa moja tu "MKWEPA KODI"
 
Uongo upi? Kwahiyo wamemsingizia kwa swala la kukwepa kodi? Kama ana sifa nyingine unaijua wewe....mie naijua sifa moja tu "MKWEPA KODI"
Messi ni mfalme wa mpira
 
Back
Top Bottom