PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gervinhoKwaiyo unataka kutuaminisha garinyo sijui gerinyo alikua zaidi ya Mfalme? serious? Namashaka nawewe.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gervinhoKwaiyo unataka kutuaminisha garinyo sijui gerinyo alikua zaidi ya Mfalme? serious? Namashaka nawewe.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gervinho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀 katufanya sisi babu zake, kila day anatuletea majina ya ajabu ajabu..sijui huwa anayaokotea wapi...
Mwaka 2000 ulipoingia walinga waliendelea kuwa Wajinga na werevu waliendelea kuwa Werevu Tizama sasa hata jina umekosea kuliquote na washabiki wako wanaendeleza ulichokikosea kukiquote Nimeandika Vizuri Garrincha wewe una quote ati Garinyo na Mjinga mwezio PNC 1 hapo kakuquote ati Gervinho and then wanashangaa ati Majina ya Ajabu wakati hao ndio Washikilia Records ambazo si leo wala kesho kuvunjwa... Hii inaonesha wapenzi wa Messi mmnampenda kama Messi alivyo na si kwa usakataji au uwezo fulani n.k Huo hauitwi upenzi bali ni unazi maana unazi liwe baya liwe zuri we ni kupenda tu hata akikutukana wewe poa tu...Kwaiyo unataka kutuaminisha garinyo sijui gerinyo alikua zaidi ya Mfalme? serious? Namashaka nawewe.....
mmoroco atarud mechi na andora au faroe hyo ndizo zinamfaa
mmoroco atarud mechi na andora au faroe hyo ndizo zinamfaa
nilishangaa ilipopewa ubest loser wakat ndio kundi rahs kupita makund yote😀😀Nyepesi nyepesi...alafu pia watakuja na visingizio ohh ronido hakuwepo ndio maana tumefungwa..inshort Portugal hakuna team pale,hata euro walipita kibahati sana..
nilishangaa ilipopewa ubest loser wakat ndio kundi rahs kupita makund yote
Kibahati sana joh wangu😀😀Nyepesi nyepesi...alafu pia watakuja na visingizio ohh ronido hakuwepo ndio maana tumefungwa..inshort Portugal hakuna team pale,hata euro walipita kibahati sana..