Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

Kwaiyo unataka kutuaminisha garinyo sijui gerinyo alikua zaidi ya Mfalme? serious? Namashaka nawewe.....
Mwaka 2000 ulipoingia walinga waliendelea kuwa Wajinga na werevu waliendelea kuwa Werevu Tizama sasa hata jina umekosea kuliquote na washabiki wako wanaendeleza ulichokikosea kukiquote Nimeandika Vizuri Garrincha wewe una quote ati Garinyo na Mjinga mwezio PNC 1 hapo kakuquote ati Gervinho and then wanashangaa ati Majina ya Ajabu wakati hao ndio Washikilia Records ambazo si leo wala kesho kuvunjwa... Hii inaonesha wapenzi wa Messi mmnampenda kama Messi alivyo na si kwa usakataji au uwezo fulani n.k Huo hauitwi upenzi bali ni unazi maana unazi liwe baya liwe zuri we ni kupenda tu hata akikutukana wewe poa tu...

Uwezo wa Kusakata na Kuchezea Mpira Pele alishakili kuwa Garrincha alikuwa juu Ndio maana ule Msemo wa Mpira ni Magori Pele aliutumia kwa uwezo wake adimu wa Kupachika Mabao kwa namna yeyote ile iwe game Ngumu au rahisi n.k Nyie Batoto badogo hapo Tayari mmeshajidhihilisha kuwa Hamjui Historia ya Soccer zaidi ni ushebeduaji tu... Kuwa Mfalme unatakiwa ufute records na sio blah blah tu...

Garrincha, the never forgotten genius of Brazilian football
Read more at Garrincha, the never forgotten genius of Brazilian football - World Soccer
250px-MFdSantos-Garrincha.jpg
220px-Garrincha_-_Maracan%C3%A3.jpg
Ukiona watu wamechonga Sanamu nadhani unaelewa Why!
 
Back
Top Bottom