Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

I was read your comment very careful but i realize the your Dad is Indian acha amne Samne kesahai ''Gando'' Hao na Soccer wapi na wapi! ndio kwanza wanapromote soccer yao kwa kuwachukua vikongwe waliovuma kwenye ligi kubwa mbali mbali Duniani kuwakuza Wahindi youngester wapate hari.

Sasa when you talk about this kid called Messi actuary his is not a King thas why i ague with other guys it this forums. Uking kapema na nani? Because till today and you and others we know Pele is a only King of Football. So Ronaldo or Messi we can call them Prince if you like.. Hakuna King wawili.

Messi is talented player i agree with you but Football ni kuscore Goal, vingine ni technique za how to score either in hard way or easy way or Both, so ukifika hapo utawacount footballer wengi ambapo Ronaldo and Messi Katika age yao wamekuwepo na Ronaldo amekuwa mbele miaka miwili zaidi ya Messi katiaka kuwacomparison hao wawili...

Messi alipojiunga Barca kulikuwa na wakali zaidi hapo ambapo hakuonekana hadi baada ya miaka kadhaa tena Ronaldinho alipoondoka, na Ubora wa Mchezaji always unahitaji support kwa other players na wale Wakali wanapokuwa timu za kawaida ndio hunuliwa na timu kubwa kutengeneza timu Bora za kishindani... Ndio Maana kuna wachezaji hata wafane nini sababu wapo timu zaisizo bora hukaa huko na kupotea but wengine wamekuwa na vipaji zaidi ya hata hawa wawili, See capability ya Mchezaji David Ginola,Benito Carbone,Johah cruyff,Michael platini, Garrincha huyo nasikia alikuwa balaa miguu yake kama ilikuwa na sumaku, Suarez ni Mchezaji hatari sana sema Tabia mbaya, na ameprove yupo juu ya Messi, So how come Messi become king when his team mate play Suarez play better than him for the past two years!

Mambo ya Assist lazima yatokee kwa kila mchezaji sababu mpira unaanza kwa kipa so team nzima ina husika kuassist othe ways wabaki wawili Messi aanzishe apande na mpira and then ampasie mwenzie afunge basi itakuwa assist yake haswa... mambo ya Assist sometimes ni sifa za kijinga na za uselfish, Mpira ni Pass pass Goal.

Ni Jambo Jema umesema Ronaldo ana score more goal than Messi hapo umefunga Mjadala mzima kwa Kukili kwako Thanks umekuwa Muwazi....

Ww unasema Christina ni zaidi ya Mfalme, hebu 2fafanulie ubora wake ni upi? Mbona hueleweki,umebakia 2 kumcfia. Mara ana magoli mengi oh mara sijui nini.funguka ww sio unalopoka 2.
 
Wapi nimeandika Ronaldo ni Mfalme? kanewe vizuri nadhani umetokea chooni... so unaongea ovyo ovyo like mtu anaishi kwa makisio
 
Ww ni m2 wa wp? Nani kakwambia "umeandika" Christina ni Mfalme? Ebu soma vizuri uielewe hiyo post yangu inasema nini! Tatizo lako unakulupuka kupost bila kuelewa kilichoandikwa.
 
Hapa its like Mada unageuza mhusika, unamuita Jina la Kike hebu jifikilie wewe uitwe jina la kike utajisikiaje? acha ubinafsi
 
I was read your comment very careful but i realize the your Dad is Indian acha amne Samne kesahai ' ' Gando ' ' Hao na Soccer wapi na wapi! ndio kwanza wanapromote soccer yao kwa kuwachukua vikongwe waliovuma kwenye ligi kubwa mbali mbali Duniani kuwakuza Wahindi youngester wapate hari.

Sasa when you talk about this kid called Messi actuary his is not a King thas why i ague with other guys it this forums. Uking kapema na nani? Because till today and you and others we know Pele is a only King of Football. So Ronaldo or Messi we can call them Prince if you like.. Hakuna King wawili.

Messi is talented player i agree with you but Football ni kuscore Goal, vingine ni technique za how to score either in hard way or easy way or Both, so ukifika hapo utawacount footballer wengi ambapo Ronaldo and Messi Katika age yao wamekuwepo na Ronaldo amekuwa mbele miaka miwili zaidi ya Messi katiaka kuwacomparison hao wawili...

Messi alipojiunga Barca kulikuwa na wakali zaidi hapo ambapo hakuonekana hadi baada ya miaka kadhaa tena Ronaldinho alipoondoka, na Ubora wa Mchezaji always unahitaji support kwa other players na wale Wakali wanapokuwa timu za kawaida ndio hunuliwa na timu kubwa kutengeneza timu Bora za kishindani... Ndio Maana kuna wachezaji hata wafane nini sababu wapo timu zaisizo bora hukaa huko na kupotea but wengine wamekuwa na vipaji zaidi ya hata hawa wawili, See capability ya Mchezaji David Ginola,Benito Carbone,Johah cruyff,Michael platini, Garrincha huyo nasikia alikuwa balaa miguu yake kama ilikuwa na sumaku, Suarez ni Mchezaji hatari sana sema Tabia mbaya, na ameprove yupo juu ya Messi, So how come Messi become king when his team mate play Suarez play better than him for the past two years!

Mambo ya Assist lazima yatokee kwa kila mchezaji sababu mpira unaanza kwa kipa so team nzima ina husika kuassist othe ways wabaki wawili Messi aanzishe apande na mpira and then ampasie mwenzie afunge basi itakuwa assist yake haswa... mambo ya Assist sometimes ni sifa za kijinga na za uselfish, Mpira ni Pass pass Goal.

Ni Jambo Jema umesema Ronaldo ana score more goal than Messi hapo umefunga Mjadala mzima kwa Kukili kwako Thanks umekuwa Muwazi....

Alaf ww waga una2fanya cc wendawazimu,Nani kakuambia Hicho ni kihindi? Mbona unapotosha wa2 mchana kuweupe
 
Cristiano Ronaldo named UEFA best player of year in Europe
Fri Aug 26, 2016 6:21AM
3145d8c5-9b6a-46eb-92fa-d7d508015185.jpg

Cristiano Ronaldo has been crowned UEFA’S best player of the year after winning the Champions League with Real Madrid and Euro 2016 with Portugal.

d9c19756-9f6b-449d-885c-820c6e26c15b.jpg

The voting took place at the end of the draw ceremony for the next Champions League season.

The 31-year-old striker beat off competition from club-mate Gareth Bale and Atletico Madrid striker Antoine Griezmann to claim the award for the second time throughout his career.

Ronaldo garnered 40 votes while Griezmann and Bale won 8 and 7 votes each. The Portugal marksman had won the title for the first time back in the 2013.

Pichani Messi akiwashangaa Wachezaji Bora tatizo Ufupi so haonekani hapo...
 
Kwaiyo tufenyeje?
 
Kwaiyo tufenyeje?
Unaona Baja eenh! Niliwaambia kila Mbabe ana Mbabe wake.. ndio unachotakiwa ni resect na sifa za kijinga kwa wasilstahili muache... Messi sasa hivi kajibadilisha muonekano apunguze Aibu... Muhahaahahahahahahaha
 
Hapa its like Mada unageuza mhusika, unamuita Jina la Kike hebu jifikilie wewe uitwe jina la kike utajisikiaje? acha ubinafsi
Duh! Yaani imekuuma ronaldo kuitwa christina? [emoji1] [emoji1] [emoji1] ...watakuelewesha na utaelewa tu!!!
 
Back
Top Bottom