Special thread : Messi Magics

Special thread : Messi Magics

1471633293297.jpg
 
Kila mara unafungua mada ya kumsifia mtu huyo huyo... Mod Ziunganisheni hizi thread za Messi...
 
Kila mara unafungua mada ya kumsifia mtu huyo huyo... Mod Ziunganisheni hizi thread za Messi...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukisikia jina la King unaweweseka Mimi cjaonaga thread ya King hii ya kwanza
 
Haya hapa ni mambo 17 ambayo
huenda huyafahamu kuhusu Lionel
Messi.
1. Messi amezaliwa sehemu moja
(Risario) na mwanamapinduzi
Che Guevara.
2. Akiwa na umri wa miaka 11,
alifanyiwa upasuaji baada ya
kusumbuliwa na matatizo ya
homoni za ukuaji. Homoni hizo
zilikuwa zikizuia ukuaji wake na
wazazi wake hawakuweza kulipia
gharama za upasuaji huo ambao
ilikuwa ni USD 900.
3. Akiwa na umri wa miaka 17,
aliweka historia kwa kuwa
mchezaji mdogo zaidi kuifungia
Barcelona goli.
4. Kiongozi wa Barcelona Carles
Rexach alifurahishwa sana na ujuzi
wa Messi uwanjani, na aliahidi
kuihamishia familia yake nchini
Hispania na kulipa gharama za
matibabu yake wakati Messi akiwa
na miaka 13. Aliandika mkataba
wake kwenye napkin sababu ya
ukosefu wa karatasi.
5. Mchezo wake wa kwanza alikaa
uwanja sekunde 47 tu baada ya
kupewa kadi nyekundu alipoingia
akitokea benchi.
6. Unafahamu kuwa Messi pia ana
medali ya michuano ya Olimpiki
iliyopigwa 2008 nchini China?
7. Mwaka 2008 Messi alirithi jezi
namba 10 kutoka kwa bingwa
Ronaldinho kutoka Brazil.
8. Katika miaka 100 iliyopita, Messi
ni mchezaji pekee kufunga magoli
25 katika kalenda ya mwaka kwa
klabu yake na timu ya taifa.
9. Alishawahi kupewa nafasi ya
kuichezea timu ya taifa ya Hispania
lakini alikataa.
10. Kama kwa sababu yeyote ile
Barcelona watavunja mkataba
wake na Messi, watatakiwa
kumlipa zaidi ya USD 330 milioni.
11. Messi ni balozi wa huruma wa
UNICEF, lakini pia huwa
anawasaidia watu waliougua
ugonjwa wa Fragile X Syndrome (a
type of autism).
12. Mara zote anapofunga goli
huwa anashangilia kwa kunyanyua
mikono yake juu na kutingisha
vidole kama kumkumbuka bibi yake
aliyefariki akiwa na umri wa miaka
10.
13. Mguu wa kushoto wa Messi
ulitumiaka kutengenezea kiatua cha
dhahabu Japan chanye uzito wa
kilogram 25 ambacho kiliingizwa
sokoni ili kuwasaidia wahanga wa
tetemeko la ardhi na tsunami.
Thamani yake ilikuwa ni USD
milioni 5.25
14. Yeye ndiye mfungaji bora wa
hat-trick katika michuano ya klabu
bingwa barani Ulaya.
15. Ameshinda mataji matano ya
Ballon d’Or. Kati ya hizo, nne
alishinda mfululizo tangu mwaka
2009 hadi 2012.
16. Akiwa na umri wa miaka 25,
alikuwa mchezaji mdogo zaidi
kufunga magoli 200 au zaidi katika
ligi kuu nchini Hispania.
17. Messi hapendi kuangalia
matukio yake mwenyewe uwanja.
[emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737]Washabiki wa Messi[emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737]
 
Ntakuwa nawatembelea humu maana mlizid sana nyuzi zenu zile

Bila shaka upo kwenye bao unawasubiri wenzio uwapige changa la macho mchana kweupee..alaf mnatuijia hapa na gia namba 5 kutupiga uongo hahaaa..tumewastukia aise
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom