Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa hatari mno
Hiyo ni katika kunogesha tu mkuu...Haka kababu kaongo haka.......hicho kizungu ni porojo tu.
Kwako jesse
Haka kababu kaongo haka.......hicho kizungu ni porojo tu.
Nampenda huyu Baba mpaka naumwa. Kwangu ni mchambuzi bora wa muda wote
Yani Football ndo starehe yangu ya kwanza.Vizuri kuona msichana anapenda football.