Special thread: Misemo ya Mwl.Kashasha

Special thread: Misemo ya Mwl.Kashasha

Huyu Ibrahim Ajibu
Ni mchezaji wa kipekee
nchin Tanzania ana 3B
Yaan ball balance
Ball control
Ball fitness
Kwako Enock
 
Huyu jamaa amekuwa maarufu sana kwa misemo mbalimbali na namna ya kipekee ya uchambuzi wa mpira hasa magoli na vionjo ndani ya uwanja, napenda sana maneno yake na naamini kila mmoja anapenda.

Nimeona nifungue uzi maalum kwaajili ya misemo mbalimbal kt uchambuzi wake wa kabumbu.. karibuni
muhuni tyuu wa town yule chek bobu mwingne cku zote wajinga ndio huliwao uong uong mwing sio njia ya kumbembeleza sketi.... uyu anawashika kama manara wa Kariakoo au Jer Muro anacheza na akili zenu kama kitenesi /////nasignout
 
Back
Top Bottom