Honest One
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 235
- 278
Huwa anatangaza kupitia redio gani?Mi huwa nawasha vyote. Redio na Tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anatangaza kupitia redio gani?Mi huwa nawasha vyote. Redio na Tv
Ya Pili ni nini?Yani Football ndo starehe yangu ya kwanza.
muhuni tyuu wa town yule chek bobu mwingne cku zote wajinga ndio huliwao uong uong mwing sio njia ya kumbembeleza sketi.... uyu anawashika kama manara wa Kariakoo au Jer Muro anacheza na akili zenu kama kitenesi /////nasignoutHuyu jamaa amekuwa maarufu sana kwa misemo mbalimbali na namna ya kipekee ya uchambuzi wa mpira hasa magoli na vionjo ndani ya uwanja, napenda sana maneno yake na naamini kila mmoja anapenda.
Nimeona nifungue uzi maalum kwaajili ya misemo mbalimbal kt uchambuzi wake wa kabumbu.. karibuni