Special thread: Missing someone with special memories in your life

Special thread: Missing someone with special memories in your life

Umejaaliwa mapenzi mengi hivyo sky jamani, miaka yote hiyo, mpotezee tu

Huyu nilie nae tukiachana kwa kifo ama vinginevyo, ndipo kwa mara ya kwanza nitakuwa na kumbukumbu nzuri kwa ex maana mapenzi yangu kwake na yake kwangu sijawahi kuyapata.. nampenda mno na anajua hilo, niko tayari kumfanyia chochote kwa uwezo wangu ili tu kumfurahisha yeye
 
Shikilia Mama shikilia
 
Nime wamiss sana hawa marafiki zangu walikuwa twins wakike na wakiume tulikuwa tukiwasiliana vizuri tuu mpaka mara ya mwisho niliwaahidi nitaenda kuwatembelea kwao huko Moshi nikikapata nafasi pacha mmoja aliondoka akaenda UK kimasomo huyo mwingine alibaki hapa bongo
Namba zao azipatikani tena mitandaoni siwaoni hata kwa bahati mbaya sijawahi kukutana na account zao wala picha zao J & S popote mlipo mjue tuu bado nawakumbuka sanaa
 
Me napita tu,kuna mdada nilikutana naye kwenye group la whatsap jf kitambo hicho...alikuwa akiishi tanga nilimwelewaga sana tukaishia kupotezana tu.nimekumiss wewe dada nimekumbuka sex chat zile basi daaaah anyway maisha yaendeleee
 
Back
Top Bottom