Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
- Thread starter
- #21
Yeah, memories ndo zinafanya unamkumbukaNaona hii ndo shida ya kuform urafiki na watu wa mitandaoni siku yoyote anaweza kukuacha solemba na vile hujui mengi kuhusu yeye basi unabaki kumkumbuka tu .
Dah kuna mtu namkumbuka kichizi .