Nakazia"If you expect nothing from somebody you are never disappointed.”
Expectations always hurt
Shikilia Mama shikiliaUmejaaliwa mapenzi mengi hivyo sky jamani, miaka yote hiyo, mpotezee tu
Huyu nilie nae tukiachana kwa kifo ama vinginevyo, ndipo kwa mara ya kwanza nitakuwa na kumbukumbu nzuri kwa ex maana mapenzi yangu kwake na yake kwangu sijawahi kuyapata.. nampenda mno na anajua hilo, niko tayari kumfanyia chochote kwa uwezo wangu ili tu kumfurahisha yeye
Kwa vurugu za mahusiano zinazoendelea kitaa, nashikilia vyemaShikilia Mama shikilia
Nakupenda bureee..msalimu shemKwa vurugu za mahusiano zinazoendelea kitaa, nashikilia vyema
Shukrani sana😍zimefika,Nakupenda bureee..msalimu shem
Tupe story banaMaumivu tu dear tunauguza
Eeh nakisubiriaNitawaletea kibwagizo Cha mkaka alienipendaga anaitwa Sunday.....[emoji847]
Ni urafiki tuTupe story bana
Ah kumbe hamna story ya utamu wa asaliNi urafiki tu
Nothing serious .
[emoji23]Ah kumbe hamna story ya utamu wa asali
Sasa unayegegedana nae sii ndio muhimu zaidi[emoji23]
Hakuna story hiyo Mkuu
Kuna watu wa muhimu ndo maana tunawakumbuka .
[emoji23][emoji23]Sasa unayegegedana nae sii ndio muhimu zaidi
Pole sana...life has to go on.Dah
Kama ilivyokua kwangu..nilimzoea mwenyewe..alikua Kama rafiki wakati mwingine.
Ila maisha lazima yaendelee
Hata mume hamfikii na ndio anayekupa asali ya dunia🤔🤔🤔🤔[emoji23][emoji23]
Yeye wa muhimu sana , hakuna wa kumfikia [emoji12]
Nimechanganya madesa [emoji23][emoji23]Hata mume hamfikii na ndio anayekupa asali ya dunia[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kumbe jimbo linamilikiwa 🤣🤣🤣🤣Nimechanganya madesa [emoji23][emoji23]
Nimemaanisha mtu niliye nae ni wa muhimu sana,
Huyo nishaachana nae , life lazima iendelee