Special thread: Missing someone with special memories in your life

Special thread: Missing someone with special memories in your life

Kama ulimwambia ukweli hapo sawa,ameamua mwenyewe kuzika au kusafirisha...kwa jinsi ulivyofree humu mtu inabidi akuelewa sana
Jambo moja mie suala la kuanza kupiga a sound za uongo sipendi. We adults tnajua nini mwanaume na mwanamke wanafanya so tunaelezana ukweli.
Ila jamni jamani ata mkiwa sexmates msisubuthu kabisa kuelezana story za mnavyogegedana na hao watu wengine....lazima kawivu flan kapite.

Nakumbuka kuna siku alinipigia story...loh sikulala.
 
Ngoja aje kunisaidia, manake leo sitalala kwa raha!
Babe nini mbaya! You know vile nakupenda mume wangu right?
Sasa usipolala kwa raha mie vitalalika kweli?
 
Jambo moja mie suala la kuanza kupiga a sound za uongo sipendi. We adults tnajua nini mwanaume na mwanamke wanafanya so tunaelezana ukweli.

Hayo ndio maneno [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom