luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Nakili nimekosa mwenye hata sifa tatu tuAisee, pole sana, bila shaa nyau bado yupo hai
1: msafi anae nukia vizuri
2:mwenye vipesa vya kubadirisha mboga
3: afu mrefu.
Aisee amekosa. Bora uzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakili nimekosa mwenye hata sifa tatu tuAisee, pole sana, bila shaa nyau bado yupo hai
Tena mnooHivi kwanini mtu unaempenda huwezi kuwa nae? Moyo unauma sana.
Mambo ya kukompare nayo balaa, huwezi amini namaliza hata mwaka bila mahusiano najipa tu moyo ipo siku.Tena mnoo
Haha ..haya mambo tunayo sana sisi wadada ..ila tuache haka ka tabia ka kucompare dear..jua litatuchwea..ohoooMambo ya kukompare nayo balaa, huwezi amini namaliza hata mwaka bila mahusiano najipa tu moyo ipo siku.
Unakuta mtu kanipendaaa anabembeleza ila mimi ndo kwanza namuona kama kaka yangu.
Sasa ukubali mwenye mijasho na sabuni zake za B 29.na kiharufu kisichoeleweka kisa unaogopa jua kukuchwea? Hapana diaHaha ..haya mambo tunayo sana sisi wadada ..ila tuache haka ka tabia ka kucompare dear..jua litatuchwea..ohooo
Tusiwe na matarajio makubwa kwa yoyote. Turuhusu mapenzi ya Mungu, yatimizwe.Ngumu aisee
Mungu atusaidie tu
Ooh Mimi siwezi , nikiumia nasahauTusiwe na matarajio makubwa kwa yoyote. Turuhusu mapenzi ya Mungu, yatimizwe.
Proper !Ooh Mimi siwezi , nikiumia nasahau
Life lazima iendelee
Kama ni type hizo hata Mimi nasema hapana..ila nimecheka sana na b29 🤣🤣🤣🤣Sasa ukubali mwenye mijasho na sabuni zake za B 29.na kiharufu kisichoeleweka kisa unaogopa jua kukuchwea? Hapana dia
Ungeomba namba cute....unapotaka kitu pambania aibu weka kand😵na sasa unavyoumiaDearest God plz one more chance. Huyu kaka nilikutana nae kikazi siku moja ila.naona nafasi nyingine haipatikani tena dah
Dear God kama ulikuwa unajua status zetu haziendani kwa nini ulinikutanisha nae afu hutaki kumleta tena? Sio fair.
Au ndo golden chance never come twice? Ulitaka nifanyeje siku hiyo wakati ilikuwa kazi tu, sawa tu.
No ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibuUngeomba namba cute....unapotaka kitu pambania aibu weka kand😵na sasa unavyoumia
Mwagilia moyo wewe wachananna aibu hizoNo ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibu
Huwezi jua ni ngumu kiasi gani unaweza niona mzembe trust me ni ngumu.
Kweli binadamu tumetoutiana Aisee,ivi wewe ukiwa na mwenzio unaweza mwambia Unataka kuduu nae Kwa mtindo huo? Nàhisi una aibu Sana,jitahidi unaweza ishia kupata usichokitaka momNo ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibu
Huwezi jua ni ngumu kiasi gani unaweza niona mzembe trust me ni ngumu.
Situmii hivyo vimwagilia roho. Natumia maziwa nikienda beyond natumia malta🤣Mwagilia moyo wewe wachananna aibu hizo
Kutamka siwezi ntajaribu njia nyingine. Nina malengo yangu makubwa tuKweli binadamu tumetoutiana Aisee,ivi wewe ukiwa na mwenzio unaweza mwambia Unataka kuduu nae Kwa mtindo huo? Nàhisi una aibu Sana,jitahidi unaweza ishia kupata usichokitaka mom
Wewe tumia mwanaume kumwagilia moyo au wee hutaki yale maziwa ya mwanaumeSitumii hivyo vimwagilia roho. Natumia maziwa nikienda beyond natumia malta🤣
Hiyo miguu ilivyo mizuri kwa nini asikutafute, basi mtafute wewe kama vipi..? Huenda mwamba ana girlfriend wake huko wala hana time, vunja ukimya...No ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibu
Huwezi jua ni ngumu kiasi gani unaweza niona mzembe trust me ni ngumu.