Special thread: Missing someone with special memories in your life

Mambo ya kukompare nayo balaa, huwezi amini namaliza hata mwaka bila mahusiano najipa tu moyo ipo siku.

Unakuta mtu kanipendaaa anabembeleza ila mimi ndo kwanza namuona kama kaka yangu.
Haha ..haya mambo tunayo sana sisi wadada ..ila tuache haka ka tabia ka kucompare dear..jua litatuchwea..ohooo
 
Sasa ukubali mwenye mijasho na sabuni zake za B 29.na kiharufu kisichoeleweka kisa unaogopa jua kukuchwea? Hapana dia
 
Kama ni type hizo hata Mimi nasema hapana..ila nimecheka sana na b29 🤣🤣🤣🤣
 
Dearest God plz one more chance. Huyu kaka nilikutana nae kikazi siku moja ila.naona nafasi nyingine haipatikani tena dah

Dear God kama ulikuwa unajua status zetu haziendani kwa nini ulinikutanisha nae afu hutaki kumleta tena? Sio fair.

Au ndo golden chance never come twice? Ulitaka nifanyeje siku hiyo wakati ilikuwa kazi tu, sawa tu.
 
Ungeomba namba cute....unapotaka kitu pambania aibu weka kand😵na sasa unavyoumia
 
No ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibu

Huwezi jua ni ngumu kiasi gani unaweza niona mzembe trust me ni ngumu.
 
Mwagilia moyo wewe wachananna aibu hizo
 
No ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibu

Huwezi jua ni ngumu kiasi gani unaweza niona mzembe trust me ni ngumu.
Kweli binadamu tumetoutiana Aisee,ivi wewe ukiwa na mwenzio unaweza mwambia Unataka kuduu nae Kwa mtindo huo? Nàhisi una aibu Sana,jitahidi unaweza ishia kupata usichokitaka mom
 
Kutamka siwezi ntajaribu njia nyingine. Nina malengo yangu makubwa tu
 
No ninayoooooo, kanipa mwenyeweeeeee, nafanyaje sasa? Hizi memories nilikuwa nazo zamani nilimpenda mrugulu mmoja hivi akachomoa betri, nikasamehe na kusahau sasa huyu wa juzi naona ananitesa no ninayo ila aibu

Huwezi jua ni ngumu kiasi gani unaweza niona mzembe trust me ni ngumu.
Hiyo miguu ilivyo mizuri kwa nini asikutafute, basi mtafute wewe kama vipi..? Huenda mwamba ana girlfriend wake huko wala hana time, vunja ukimya...
 
Back
Top Bottom