Kheeee! Umeshakunywa chai?🤔Unatoa raba zenye kamba za rangi ya bright green, unatuwekea raba zenye kamba nyeupe, unatuchukuliaje lakini? Au unatuona sisi kama unyayo au visigino?
Kweli Mjukuu nimekuza, anajua hadi mambo ya Uji mzito 😜🙌🏃🏃🏃Waache wajimwagie uji😂
😂sasa kwani mimi nina shida ya wao kunijua?Kila ukionekana humu kila mtu anakuona nginja nginja komasava , bibi titi , utajua mwenyewe 😁😁😁
😏😏 Maadui hatutaki kuelewa chochote. Lengo kumpiga Bonge basi🤣🤣 dumisha lengo! kanuni ya ngapi vile? kwenye MKHakikisha adui yako hajui udhaifu wako wa ukweli🤭
Mpaka nikuruhusu lakini 😛😂sasa kwani mimi nina shida ya wao kunijua?
Nasubiri wakitulia niwaonyeshe ephen wa ukweli ni yupi😂
41? 55 hukoHuyo Kwa haraka haraka hakosi 41 😜
Aaah Ng'wanangwa unaniabisha bhana🤣🤣🤣Kipenda roho hula nyamba mbichi!
Usijipe umuhimu usiokua nao na wewe🙄Mpaka nikuruhusu lakini 😛
Huyo ni 41 au 4241? 55 huko
Hahahhaa jidanganye 😄😉Usijipe umuhimu usiokua nao na wewe🙄
Usinichoshe! njoo tule kiporo fake akee☺️😏😏 Maadui hatutaki kuelewa chochote. Lengo kumpiga Bonge basi🤣🤣 dumisha lengo! kanuni ya ngapi vile? kwenye MK
Yaani tangu upate zile D mbili ndiyo Kila mtu una msanua??😏😏 Maadui hatutaki kuelewa chochote. Lengo kumpiga Bonge basi🤣🤣 dumisha lengo! kanuni ya ngapi vile? kwenye MK
Kanyamwi huo ni mshangaz wa kuvunja chaga hauelewi wap sasa ?[SIZE=7]Pozi liko wapi hapo??[/SIZE]
[SIZE=7]au mi ndo sio mwelewa🙆[/SIZE]
🤣🤣🤣🤣🤣 Ee Yesu wee🤭Hisia zangu hazijawahi kunidanganya 😂 nilikua nakuona wewe kabisa. Kipenzi, that's why nikauliza
Hatunywi chai mida hiiKheeee! Umeshakunywa chai?🤔
Ngoja niandae uzi wa kukusifia na wewe tuma picha yako PM 😂😂😂[SIZE=7]Pozi liko wapi hapo??[/SIZE]
[SIZE=7]au mi ndo sio mwelewa🙆[/SIZE]
Sio kw hiyo NiDo 🤣🤣Kanyamwi huo ni mshangaz wa kuvunja chaga hauelewi wap sasa ?