Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
LeMtindiz!!huyu ndo mshangazi sasa, ukisikia mashangazi ndo haya we utakuwa umependea le mtindizi
LeMtindiz!!huyu ndo mshangazi sasa, ukisikia mashangazi ndo haya we utakuwa umependea le mtindizi
Hisia zangu hazijawahi kunidanganya 😂 nilikua nakuona wewe kabisa. Kipenzi, that's why nikaulizaItakuwa ni Mimi,Ila ziwa sasa mbona hilo kubwa🤔
Umebadili viatu kwenye profile yako?Itabidi siku niwasuprise kiukweliukweli☺️
Ndio!Umebadili viatu kwenye profile yako?
Ulijiita kibonge mwenyewe ona sasa unavyoteseka utajua mwenyewe 😁😁Itabidi siku niwasuprise kiukweliukweli☺️
Safi sanaView attachment 3076951
Wallahi nimempenda bure huyu dada kwa pozi alilolitoa.
Jamani nitampateje?
Nimemkuta mtandaoni.
Hakikisha adui yako hajui udhaifu wako wa ukweli🤭Ulijiita kibonge mwenyewe ona sasa unavyoteseka utajua mwenyewe 😁😁
Unatoa raba zenye kamba za rangi ya bright green, unatuwekea raba zenye kamba nyeupe, unatuchukuliaje lakini? Au unatuona sisi kama unyayo au visigino?Ndio!
Kila ukionekana humu kila mtu anakuona nginja nginja komasava , bibi titi , utajua mwenyewe 😁😁😁Hakikisha adui yako hajui udhaifu wako wa ukweli🤭
Kipenda roho hula nyamba mbichi!Kwahio akichange pozi unamchukia ?
Kheeee! Umeshakunywa chai?🤔Unatoa raba zenye kamba za rangi ya bright green, unatuwekea raba zenye kamba nyeupe, unatuchukuliaje lakini? Au unatuona sisi kama unyayo au visigino?
Kweli Mjukuu nimekuza, anajua hadi mambo ya Uji mzito 😜🙌🏃🏃🏃Waache wajimwagie uji😂
😂sasa kwani mimi nina shida ya wao kunijua?Kila ukionekana humu kila mtu anakuona nginja nginja komasava , bibi titi , utajua mwenyewe 😁😁😁
😏😏 Maadui hatutaki kuelewa chochote. Lengo kumpiga Bonge basi🤣🤣 dumisha lengo! kanuni ya ngapi vile? kwenye MKHakikisha adui yako hajui udhaifu wako wa ukweli🤭
Mpaka nikuruhusu lakini 😛😂sasa kwani mimi nina shida ya wao kunijua?
Nasubiri wakitulia niwaonyeshe ephen wa ukweli ni yupi😂
41? 55 hukoHuyo Kwa haraka haraka hakosi 41 😜
Aaah Ng'wanangwa unaniabisha bhana🤣🤣🤣Kipenda roho hula nyamba mbichi!