Kweli mkuu, tunatofautiana sanaUzuri wa mtu upo machoni pake
Endelea Mkuu 🤗
Naona umeamua kuji promo?View attachment 3076951
Wallahi nimempenda bure huyu dada kwa pozi alilolitoa.
Jamani nitampateje?
Nimemkuta mtandaoni.
Huyo Kwa haraka haraka hakosi 41 😜Kwa wengine ni dada, kwa wengine lishangazi..... haya maisha haya.!
Kabisa, mtoa mada aseme amependa hicho kifua tu 😜Kweli mkuu, tunatofautiana sana
Wengine hizi ndio kazi zetu 🤣🤣Kweli mkuu, tunatofautiana sana