Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuna siku ulinitolea kauli mbaya sababu ya mwili wangu na vile nilisifia wadada wembamba. Mimi sivutiwi kabisa na unene awe ke ama me ila katu siwezi kumsema vibaya mtu kisa ni mnene. Mshamba kaona mwanamke asie mnene ndio mwanamke bora kwake wala usimbeze, ni kama wewe unavyopenda wanawake mabonge mtu akikubeza huwezi kujiskia vizuri kama ulivyoandika hapo. Tuishi humo, kila mtu abakie na anachopenda bila kuwatolea maneno ya kuudhi wengine.
Nina miaka zaidi ya 10 humu na sina tabia ya kutolea watu kauli mbaya, dharau wala kutukana. Naamini ilikuwa ni katika muktadha huu huu wa utani na pengine ulichukulia out of context. Hii nadhani ni mara ya pili unarudia hili jambo. Inaonekana uliumia kweli kweli na tangu mwaka 2022 huko bado tu una chuki na maumivu wakati mimi wala sikumbuki nilisema nini. Na nadhani nilishakuomba msamaha. Achilia please!

Kwa mengine yote uko sahihi. Na utani wa timu vimbaumbau vs. Bantu ladies ni sawa tu na ule wa Simba na Yanga (au ule wa Wasukuma vs. Makabila mengine). Unaburudisha japo wakati mwingine unaweza kupitiliza. Don't take anything personal please; na ukiona huna kifua just leave the convo maana ku-control watu na perceptions zao napo ni pagumu kweli kweli. Hebu kila mtu ashinde mechi zake - kama inawezekana! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

Screenshot_20250211_134002_Chrome.jpg

Screenshot_20250211_135406_Chrome.jpg

Screenshot_20250211_134051_Chrome.jpg

Tumblr_l_611900094763139 (1).jpg
 
Nina miaka zaidi ya 10 humu na sina tabia ya kutolea watu kauli mbaya, dharau wala kutukana. Naamini ilikuwa ni katika muktadha huu huu wa utani na pengine ulichukulia out of context. Hii nadhani ni mara ya pili unarudia hili jambo. Inaonekana uliumia kweli kweli na bado una chuki na maumivu wakati mimi wala sikumbuki nilisema nini. Na nadhani nilishakuomba msamaha. Achilia please!

Kwa mengine yote uko sahihi. Na utani wa timu vimbaumbau vs. Bantu ladies ni sawa tu na ule wa Simba na Yanga (au ule wa Wasukuma vs. Makabila mengine). Unaburudisha japo wakati mwingine unaweza kupitiliza. Don't take anything personal please; na ukiona huna kifua just leave the convo maana ku-control watu na perceptions zao napo ni pagumu kweli kweli! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
Babu yaishe tafadhali usije ukatuachia laana😅
 
Back
Top Bottom