mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
huyu body fat yake utakuta ipo juu.View attachment 3232963
Mwanamke kama huyu ana unene gani? Tumbo flat kabisa.
tumbo sio kigezo kiujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu body fat yake utakuta ipo juu.View attachment 3232963
Mwanamke kama huyu ana unene gani? Tumbo flat kabisa.
Pyeeeeeehuyu body fat yake utakuta ipo juu.
tumbo sio kigezo kiujumla.
Huenda huyu akawa wewe, kuna binadamu wenzetu wanafaidi sana hizi nyama🤣View attachment 3232963
Mwanamke kama huyu ana unene gani? Tumbo flat kabisa.
Mmmh! Picha nimeokota huko igHuenda huyu akawa wewe, kuna binadamu wenzetu wanafaidi sana hizi nyama🤣
Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.hilo kalio sio la kawaida.
hata kama halijaongezwa huo unene una hasara kuliko faida.
Hizo nyama 😍😍😍😍 i love em to death 🤗Tumefikia huku😂
Bado ana unene wa kawaida sana, mafuta yapo kwa hips na mapaja so sio shida..Mmmh! Picha nimeokota huko ig
Kwa miaka yangu niwe na mwili huo basi pressure, kisukari vinaniita.
Nilimwambia huyo kua hakuna mwanamke mnene chini haijalishi ana mafuta kiasi gani, unene wa mwanamke upo juu tumbo, mikono.Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.
Unene wa hatari ni huo wa dada zako wa hiyo mikoa yenu huko. Vimiguu na vipaja vyembamba, tako hakuna halafu kifua na kitambi hichoo - fat deposits zote zimezunguka viungo vyote muhimu.
Jielimishe zaidi kuhusu hii topic na usikariri tu eti ukimbaumbau ni afya na unene ni kinyume chake. Kuna fine prints dogo.
Conclusion: Tako na mipaja iheshimiwe. Na mwanamke mwenye umbo namba 8 aheshimiwe maana fat deposits zake ziko sehemu sahihi kiasi kwamba zina faida kubwa kuliko hasara...and such women tend to be healthier than your sick-looking vimbaumbaus 😁
View attachment 3232980
Babu upo sawa, lakini;Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.
Unene wa hatari ni huo wa dada zako wa hiyo mikoa yenu huko. Vimiguu na vipaja vyembamba, tako hakuna halafu kifua na kitambi hichoo - fat deposits zote zimezunguka viungo vyote muhimu.
Jielimishe zaidi kuhusu hii topic na usikariri tu eti ukimbaumbau ni afya na unene ni kinyume chake. Kuna fine prints dogo.
Conclusion: Tako na mipaja iheshimiwe. Na mwanamke mwenye umbo namba 8 aheshimiwe maana fat deposits zake ziko sehemu sahihi kiasi kwamba zina faida kubwa kuliko hasara...and such women tend to be healthier than your sick-looking vimbaumbaus 😁
View attachment 3232980
Ila wachaga siku hizi kidogo wana maumbo mazuri baada ya kuzaliana na makabila mengine.Babu upo sawa, lakini;
1. Ni kiasi gani ndo sahihi?
2. Dada zangu wa kilimanjaro wamekukosea nini?
3. Wembamba hawana muonekano wa kuumwa, ni mapokeo tu ya kijamii.
Babu upo sawa, lakini;
1. Ni kiasi gani ndo sahihi?
2. Dada zangu wa kilimanjaro wamekukosea nini?
3. Wembamba hawana muonekano wa kuumwa, ni mapokeo tu ya kijamii.
min -me ndio maana hutaki wanawake wa kichaga?Dada zako ni majanga mkuu japo sasa hivi mambo yanabadilika sababu ya intermarriages 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3232986
Kuna siku ulinitolea kauli mbaya sababu ya mwili wangu na vile nilisifia wadada wembamba. Mimi sivutiwi kabisa na unene awe ke ama me ila katu siwezi kumsema vibaya mtu kisa ni mnene. Mshamba kaona mwanamke asie mnene ndio mwanamke bora kwake wala usimbeze, ni kama wewe unavyopenda wanawake mabonge mtu akikubeza huwezi kujiskia vizuri kama ulivyoandika hapo. Tuishi humo, kila mtu abakie na anachopenda bila kuwatolea maneno ya kuudhi wengine.Unawaonea wanawake. Wembamba hakijawahi kuwa kigezo cha mwanamke wa Kiafrika. Hicho ni kigezo cha wazungu huko ambako ukimbaumbau unaabudiwa sana. Kwetu huku mwanamke halisi wa Kiafrica ana/lipaswa kuwa angalau na kamwili mwili hivi na siyo hii mifupa yenu mnayoshabikia hii. Na wanawake wetu hawakuwa na shida zo zote za kiafya kabla ya ujio wa haya mavyakula yenu feki haya na maisha ya kubweteka.
Na kwa mtazamo wako ni kwamba kila mwanaume anayependa wanawake wenye maumbo ya kibantu ni mpumbavu? Such an imbecilic and myopic generalization especially coming from a smart and promising young man like you 😒
View attachment 3232955
Ndio maana nakupenda.Kuna siku ulinitolea kauli mbaya sababu ya mwili wangu na vile nilisifia wadada wembamba. Mimi sivutiwi kabisa na unene awe ke ama me ila katu siwezi kumsema vibaya mtu kisa ni mnene. Mshamba kaona mwanamke asie mnene ndio mwanamke bora kwake wala usimbeze, ni kama wewe unavyopenda wanawake mabonge mtu akikubeza huwezi kujiskia vizuri kama ulivyoandika hapo. Tuishi humo, kila mtu abakie na anachopenda bila kuwatolea maneno ya kuudhi wengine.
Kweli kila mtu na anachokipendaKuna siku ulinitolea kauli mbaya sababu ya mwili wangu na vile nilisifia wadada wembamba. Mimi sivutiwi kabisa na unene awe ke ama me ila katu siwezi kumsema vibaya mtu kisa ni mnene. Mshamba kaona mwanamke asie mnene ndio mwanamke bora kwake wala usimbeze, ni kama wewe unavyopenda wanawake mabonge mtu akikubeza huwezi kujiskia vizuri kama ulivyoandika hapo. Tuishi humo, kila mtu abakie na anachopenda bila kuwatolea maneno ya kuudhi wengine.