Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Gbz-dEgWsAsBp1A.jpeg
 
hilo kalio sio la kawaida.

hata kama halijaongezwa huo unene una hasara kuliko faida.
Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.

Unene wa hatari ni huo wa dada zako wa hiyo mikoa yenu huko. Vimiguu na vipaja vyembamba, tako hakuna halafu kifua na kitambi hichoo - fat deposits zote zimezunguka viungo vyote muhimu.

Jielimishe zaidi kuhusu hii topic na usikariri tu eti ukimbaumbau ni afya na unene ni kinyume chake. Kuna fine prints dogo.

➡️➡️➡️ Conclusion: Tako na mipaja iheshimiwe. Na mwanamke mwenye umbo namba 8 aheshimiwe zaidi maana fat deposits zake ziko sehemu sahihi kiasi kwamba zina faida kubwa kuliko hasara...and such women tend to be healthier than your sick-looking vimbaumbaus 😁

IMG_20250103_195353_061.jpg
 
Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.

Unene wa hatari ni huo wa dada zako wa hiyo mikoa yenu huko. Vimiguu na vipaja vyembamba, tako hakuna halafu kifua na kitambi hichoo - fat deposits zote zimezunguka viungo vyote muhimu.

Jielimishe zaidi kuhusu hii topic na usikariri tu eti ukimbaumbau ni afya na unene ni kinyume chake. Kuna fine prints dogo.

Conclusion: Tako na mipaja iheshimiwe. Na mwanamke mwenye umbo namba 8 aheshimiwe maana fat deposits zake ziko sehemu sahihi kiasi kwamba zina faida kubwa kuliko hasara...and such women tend to be healthier than your sick-looking vimbaumbaus 😁

View attachment 3232980
Nilimwambia huyo kua hakuna mwanamke mnene chini haijalishi ana mafuta kiasi gani, unene wa mwanamke upo juu tumbo, mikono.
 
Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.

Unene wa hatari ni huo wa dada zako wa hiyo mikoa yenu huko. Vimiguu na vipaja vyembamba, tako hakuna halafu kifua na kitambi hichoo - fat deposits zote zimezunguka viungo vyote muhimu.

Jielimishe zaidi kuhusu hii topic na usikariri tu eti ukimbaumbau ni afya na unene ni kinyume chake. Kuna fine prints dogo.

Conclusion: Tako na mipaja iheshimiwe. Na mwanamke mwenye umbo namba 8 aheshimiwe maana fat deposits zake ziko sehemu sahihi kiasi kwamba zina faida kubwa kuliko hasara...and such women tend to be healthier than your sick-looking vimbaumbaus 😁

View attachment 3232980
Babu upo sawa, lakini;

1. Ni kiasi gani ndo sahihi?

2. Dada zangu wa kilimanjaro wamekukosea nini?

3. Wembamba hawana muonekano wa kuumwa, ni mapokeo tu ya kijamii.
 
Screenshot_20250211_140116_Gallery.jpg

Dada zako ni majanga mkuu japo sasa hivi mambo yanabadilika sababu ya intermarriages. Fat distribution ya hivi ni hatari sana maana viungo vyote - moyo, maini, figo n.k vyote vinakuwa hatarini tofauti sana na pisi yenye umbo namba nane ambayo mafuta yote yapo matakoni na kwenye mipaja 😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Screenshot_20250211_105004_Chrome.jpg
 
Unawaonea wanawake. Wembamba hakijawahi kuwa kigezo cha mwanamke wa Kiafrika. Hicho ni kigezo cha wazungu huko ambako ukimbaumbau unaabudiwa sana. Kwetu huku mwanamke halisi wa Kiafrica ana/lipaswa kuwa angalau na kamwili mwili hivi na siyo hii mifupa yenu mnayoshabikia hii. Na wanawake wetu hawakuwa na shida zo zote za kiafya kabla ya ujio wa haya mavyakula yenu feki haya na maisha ya kubweteka.

Na kwa mtazamo wako ni kwamba kila mwanaume anayependa wanawake wenye maumbo ya kibantu ni mpumbavu? Such an imbecilic and myopic generalization especially coming from a smart and promising young man like you 😒

View attachment 3232955
Kuna siku ulinitolea kauli mbaya sababu ya mwili wangu na vile nilisifia wadada wembamba. Mimi sivutiwi kabisa na unene awe ke ama me ila katu siwezi kumsema vibaya mtu kisa ni mnene. Mshamba kaona mwanamke asie mnene ndio mwanamke bora kwake wala usimbeze, ni kama wewe unavyopenda wanawake mabonge mtu akikubeza huwezi kujiskia vizuri kama ulivyoandika hapo. Tuishi humo, kila mtu abakie na anachopenda bila kuwatolea maneno ya kuudhi wengine.
 
Ndio maana nakupenda.
 
Kweli kila mtu na anachokipenda
Najishangaa sana kuchukia wembamba, mtu akiniambia nimepungua nitashinda na mawazo.
 
Back
Top Bottom