Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nina miaka zaidi ya 10 humu na sina tabia ya kutolea watu kauli mbaya, dharau wala kutukana. Naamini ilikuwa ni katika muktadha huu huu wa utani na pengine ulichukulia out of context. Hii nadhani ni mara ya pili unarudia hili jambo. Inaonekana uliumia kweli kweli na tangu mwaka 2022 huko bado tu una chuki na maumivu wakati mimi wala sikumbuki nilisema nini. Na nadhani nilishakuomba msamaha. Achilia please!

Kwa mengine yote uko sahihi. Na utani wa timu vimbaumbau vs. Bantu ladies ni sawa tu na ule wa Simba na Yanga (au ule wa Wasukuma vs. Makabila mengine). Unaburudisha japo wakati mwingine unaweza kupitiliza. Don't take anything personal please; na ukiona huna kifua just leave the convo maana ku-control watu na perceptions zao napo ni pagumu kweli kweli. Hebu kila mtu ashinde mechi zake - kama inawezekana! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️




 
Babu yaishe tafadhali usije ukatuachia laana😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…