bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Mkuu pesa zinatafutwa na zina tumika kama huwezi kuzitumia usizitafute hai make sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana mbaya Kamanda,ila nilikuwa najaribu kuwaza kwanini tunatumia muda kugugo na kupost mademu wakali humu badala ya kupeana michongo ya pesa na maisha kwa jumla? Naheshimu wazo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
