Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

mrangi Wajumbe sio watu wazuri, wanaleta michosho,
sasa wataona bora na mitandao yote wafungue tu, wametukabia mpaka na majukwaa yetu pendwa, hata lilie na mawowo wakalishinikiza ....
Ova
Hahahaha Dah lile jukwaa lilikuwa hatari
Mwenyekiti ww mwenyewe tena ulilimudu vyuma
Naona jukwaa la wakubwa nalo liko off
Huu uzi wa warembo wakali dua tu zinahitajika[emoji23][emoji23]
Wengine mambo ya siasa sahv hatumooo ni huku tu

Ova
 
126722651_2468612760102244_8227381285006207561_n.jpg
 
Hahahaha Dah lile jukwaa lilikuwa hatari
Mwenyekiti ww mwenyewe tena ulilimudu vyuma
Naona jukwaa la wakubwa nalo liko off
Huu uzi wa warembo wakali dua tu zinahitajika[emoji23][emoji23]
Wengine mambo ya siasa sahv hatumooo ni huku tu

Ova
Tukeshe tukiomba maana hatujui siku wala saa hii nyuzi itatwaliwa
 
Back
Top Bottom