mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hahahaha Dah lile jukwaa lilikuwa hatarimrangi Wajumbe sio watu wazuri, wanaleta michosho,
sasa wataona bora na mitandao yote wafungue tu, wametukabia mpaka na majukwaa yetu pendwa, hata lilie na mawowo wakalishinikiza ....
Ova
Mwenyekiti ww mwenyewe tena ulilimudu vyuma
Naona jukwaa la wakubwa nalo liko off
Huu uzi wa warembo wakali dua tu zinahitajika[emoji23][emoji23]
Wengine mambo ya siasa sahv hatumooo ni huku tu
Ova