Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Anapenda sana huo mchezo, ukimnunulia bia tu umekula, alinipa namba zake mwenyewe kwa hiari yake hivi, ila sijatamani kumla nimekua mzito kweli kumtafuna maana ni bidhaa ya public
Wee kuna bidhaa gani isiyo public....wengi waao breki pu.mbu.
Dah jamani connection plz
 
Tatizo Nilimtongoza kama demu tu nikajifanya sijui mishe zake za kudanga siku ya kwanza akaniomba buku saba anunue samaki nikamtumia buku 30 alafu sikumuomba kipochi

then kikabunda kama wiki nikamtumia elfu 20 bila kuniomba akaniona mzungu .....kilichofata akawa analeta kipochi kwa nauli tu ya buku tatu tu .....so nikawa nikiomba mtandao anajifanya hatumii[emoji23][emoji23]
Wewe usiombe mpelekee tu utaona hakuna upinzani serious,kitakachofuata anaukatikia kabisa.
 
Ukiona manyoya...
IMG20210209101934.jpg
 
Kaka mbinu za kunasa hawa viumbe wa insta zikoje.
Ni rahisi mkuu, we ingia kwenye profile ya manzi uliyemuelewa halafu ñenda direct inbox. Unamuanzia simple tu kama vile "hello, you're so beautiful, nobody can deny that. As a compliment, how 'bou I take you out for lunch if you don't mind"
Wabongo wakisikia lunch tu maskio yanasimama kama king'amuzi kipya Cha Azam.. hapo inachofuatia kitonga, nikikuonesha conversation yangu dm na Aunty Lulu hutaamini mpaka nikamtafuna.
 
Back
Top Bottom