Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Kazoa wa Jambo na Vijambo anakosaje kuwa mgombea mwenza wa Rungwe!!!
 
Hivi wewe ukiambiwa nipigie kura ili ule ubwabwa wa bure, mtu huyo anakuchukuliaje?
Nawe kweli utampiga, nawe tukuelewe vipi ?
Wale wanaoahidi kulipa mishahara x2 au watawapa ajira
Sio rushwa? Au wanachukuliaje?.

Tatizo hujaielewa sera yake ya LISHE mashuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…