Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu


Akizomewa pia uweke jinsi alivyozomewa,nshomile wewe
 
Last edited by a moderator:

Asante sana kwa taarifa,kumbe anatembea na watu wa kupamba na kutengeneza mafuriko?anajidanganya sana
 

Attachments

  • 1440664743837.jpg
    15.1 KB · Views: 280
Majibu ni 25 october utapoisoma namba dalili njema ni asubuhi wakamuulize yule injinia daraja la riverside ubungo dr.hana maskhara wala utani hana kubebana hana urafiki rafiki yake ni kuchapa kazi kazi tu na anachoingea anamaanisha kinachofuata ni utekelezaji
 
Amezomewa Na Nan Mbona Wew Mmawia Unashkwa Sana Masikio Kila Unachokiona Na Kukisikia Hufikirii Unashabikia tu Af Unajiita mwanaccm....

Mimi ni mwana ccm ninayejitambua siyo mfuata mkumbo kama mbunju,kama amezomewa huwezi kusema kashangiliwa
 

Ina maana anamkosoa kikwete?
 

Makomeo hana jipya na mwaka huu ajiandae kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni
 
Hatubishani na wale wasio weza kuielewa methali ya kiswahili isemayo "baniani nbaya kiatu chake dawa" wanajielewa wanaotaka maji yapande mlima tofauti na uhalisia wa maumbile uliyo dhahiri dr.mwaga sera na ilani wakusome kwani naona mihemuko imewafaa
 
Bavicha mmeanza na propaganda zenu za kishamba. Magufuli anachanja mbuga tu....nyie kaeni jamiiforums....badala ya kwenda mitaani.

Huko site hali sio nzuri kwa UKAWA.
 
Huna hata aibu!

Sina hofu na magufuli hata kidogo na miongoni mwa viongozi ambao kwangu ni kama rolemodel tatizo langu ni moja tu ,, je ataweza kupambana na mmfumo huu atakao ukuta ikulu kuondoa mizizi ya mafisadi walio liingiza taifa kwenye mikataba inayo litia hasara???. Hapo ndio napata shida napo.
 
kijana mmoja aliyevalia suti kali amejitoa mhanga na kuchana mabango ya picha za mgombea Urais wa ccm mbele ya polisccm. Polisccm wamemkamata na amewaeleza kuwa ameamua kuyachana kwa sababu serikali imewaagiza watendaji wake kuwanyima ukawa viwanja vya kufanyia mikutano ya kampeni
 
Amen! Chochote watakachomfanya basi kitasaidia kwenye ukombozi wa nchi hii
 
Hayo ndio waliyataka ccm
Na hilo jembe lililokamatwa tunataka litolewe haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…