Huku hatutaki CCM hata kuisikia.
Mama Samia, on her way to Manyara, alipita Arusha na kuonja joto baada ya kusalimiwa kwa salamu ya vidole viwili pamoja na zomea zomea ya hapa na pale. Hii ni ishara tosha kwamba CCM inahitaji kazi ya ziada maeneo ya huku.

Ndo dawa....na iwe TANZANIA NZIMA.
Ni haki yao kuchagua kiongozi wampendaye, ila si vema kuwa tunazomeana.Tutaonekana waungwana endapo tutaheshimu maoni tofauti nasi.

huwajui ccm.watahamia kwenye ukabila na ukanda muda si mrefu...Rais ni EDWARD hakuna namna nyingine..
Ingekuwa kuna wa dini tofauti ccm ingehamia mahekaluni ila safari hii hawawezi hii propaganda ya udini.