Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

ni msimu huu wa walimu kudanganywa. tangu awamu ya pili mpaka awamu ya nne madeni ya walimu hayajaisha tu. ni ujinga kwa walimu kuendelea kuipigia kura ccm. chini ya ccm hakuna jipya....
 
Samia Suluhu mgombea mwenza wa magufuli hana wasanii. Mikutano yake inapwaya. Magufuli ana wasanii wengi wa kutosha. Mikutano yake inapendeza. Wananchi wanawafuata wasanii na sio magufuli, wala samia. Mbona samia hawamfuati? Hana wasanii! Samia akipewa wasanii wananchi watamfuata! Samia naye apewe wasanii kama anavyopewa magufuli!

Watanzania walio wengi hawana uwezo wa kulipia show za wasanii. Hii ndio fursa yao ya kulipiwa. CCM tafadhalini waongezeni wasanii kwa Samia, wananchi waburudike!
 
Hapo kila shule italetewa masisita, dah hapo poa sana, asante mheshimiwa kwa ahadi yako, sasa mahustadhi wao wataishi kama nani?
 
Ma-mwalimu nayo ni kama mataahira fulani hivi, najua yatahadaika tu!!
 
Wanaukumbi.

Mgombea mwenza ccm Samia Suluhu Hassan amezua jambo huku akiwasababishia wagombea ubunge wa ccm kuingia gharama kwani wanawake walifuatiliwa kuomba kuhudhuria kuepuka aibu.

Msafara wake ulipata tabu kila alipopita kutokana na kuchokwa kwa ccm huku mikutano ikiwa na wavaa sare kwa maana ni watu walioandaliwa sio kwa mapenzi yao.

CCM HALI NI TETE
 
Watanzania wanakumbuka kifo cha Dr Mgimwa, Dr. Mvungi, Sokoine, Kolimba, JK Nyerere, Mbwambo, Imran Kombe, Daud Mwangosi... Wanakumbuka Mateso ya Kibanda, Dr. Ulimboka ... CCM haikubaliki
 
Kama Walimu Wanadanganyika Kirahisi Hivyo Je Hao Wanafunzi Itakuwaje?
 
Nikweli hujakosea nami nilishuhudia
 
Ule wimbo wao hadi nacheka,eti ccm ni ile ile
Sasa kama ni ile ile kuna nini kipya sasa
 
Mikutano Ya CCM ya Kutafuta Kura Inaonyesha Sura ya Chama Zaidi Kuliko Wananchi Ambao Hawana Vyama. Hivyo Wanaendelea Kulost.
 
Watanzania wanakumbuka kifo cha Dr Mgimwa, Dr. Mvungi, Sokoine, Kolimba, JK Nyerere, Mbwambo, Imran Kombe, Daud Mwangosi... Wanakumbuka Mateso ya Kibanda, Dr. Ulimboka ... CCM haikubaliki

hahaaa ataelewa tu ..atarembua macho mpaka basi mwaka huu
 
Oky msiwe na wasi wasi atakuja kiboko ya ENL Magufuli the Tingatinga
 
Kama Walimu Wanadanganyika Kirahisi Hivyo Je Hao Wanafunzi Itakuwaje?

haa haa kikwete mwaka 2005 jk aliwaambia walimu kwamba madeni ya walimu yatakuwa ni historia. lakini leo anaondoka madarakani mambo ni yaleyale. tumeletewa maghufuli ili aendelee kuwarubuni walimu...
 
Picha tuone

ImageUploadedByJamiiForums1440655557.872513.jpg
Picha hiyo hapo mkuu
 
Back
Top Bottom