MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Yan anaongea km hajielewi kabisa...!
Yan badala ya kuzungumzia mambo yake anakomaa na vijembe vya kijinga
Vijembe na mipasho angemwachia mgombea mwenza wake (yule mama aliyesimamia kuchakachua maoni ya wanananchi kuhusu katiba mpya) na yeye akajikita kwenye kuuza sera. Pengine tunaweza kumsikiliza.