Kwani kwenye mikutano ya UKAWA wote wanakuwa na SARE?
View attachment 280188
naipenda ccm nampenda mgombea tiketi ya urais kupitia ccm DR JOHN POMBE MAGUFULI
Kwani kwenye mikutano ya UKAWA wote wanakuwa na SARE?
You will wait freedom for tomorrow. Magufuri wins today.wanachama wa CCM ni wachache sana kwenye mkutano huo. sioni sare zao. nakumbuka siku ya ufunguzi pale jangwani sare zilikuwa nyingi lakini leo hazionekani tena DAR kila mtu anaogoba kuvaa kwani Wanajua MAGUFULI HASHINDI
kuna kaka mmoja alikuwa anauza magazeti maeneo ya POSTA siku moja baada ya ufunguzi wa jangwanu huku na kofia yake ya CCM kichwani. ilibidi aivue kofie ile kwani wateja walimkimbia. ama kweli mwaka huu ccm analikimbia jembe na nyudo yake.
Kipimo cha uhalisia ni kura za ludewa kwa filikonjombe ukawa hata kura moja hawapati tayari ni pigo katika mahesabu ya kura zote hongera deo na dokta jp magufuli
Kodi ya viroba ndio inayojenga mabarabaraMkuu usibishane na mtu aliyepata kiroba
WAPinzani ni watu wa Fujo siku zote,wenye ccm ni wastaarab.kuvaa kwenu Tshirt za ukawa na kutokuzomewa sio kwamba Mna mashabiki wengi bali sisi ni wastaarab,kuna kaka mmoja alikuwa anauza magazeti maeneo ya POSTA siku moja baada ya ufunguzi wa jangwanu huku na kofia yake ya CCM kichwani. ilibidi aivue kofie ile kwani wateja walimkimbia. ama kweli mwaka huu ccm analikimbia jembe na nyudo yake.
Arial photo
WAPinzani ni watu wa Fujo siku zote,wenye ccm ni wastaarab.kuvaa kwenu Tshirt za ukawa na kutokuzomewa sio kwamba Mna mashabiki wengi bali sisi ni wastaarab,