wajifunze kuwa kwenye kampeni za siasa huenda kusikiliza sera na sio muziki....waache u.pu.mbavu
Kumbe wanafuata show za Diamond😱
naona umetuamulia na mapicha ya mang'ombe.
nyie mang'ombe ndio mnaochelewesha maendeleo kuikumbatia ccm.
Ni kweli kwamba uwanja ulijaa watu, wakiwemo vijana na washabiki wa Diamond. Baada ya kugundua kuwa hakuna cha Diamond wala nini, wakaanza kutoka uwanjani. Kumbe watu wanakwenda kwenye campaign kwasababu mbalimbali, mojawapo ikiwa in kuangalia burudani!
Jambo la pili nililojifunnza hapa Sumbawanga mjini ni kuwa Lowassa anapendwa! Taarifa ya habari ya saa mbili usiku, nimebahatika kuingalia nikiwa baa. Kituo cha ITV kilianza kuonyesha habari ya magufuli. Wananchi wakaanza kuponda na kusema CCM wamekuwa wakituambia hayo hayo kila uchaguzi ukaribiapo, tumechoka nao! Baada ya muda, akaonyeshwa Mh. Lowasa akiwa matembezini Dar. Watu wakalipuka "YES" tunamtaka huyoooo!
Nimethibitisha usemi usemao Lowasa ana nyota ya chips, anapendwa na wengi!

jamaa yupo "committed" sana cha msingi ni kumpa kura zenu then msubiri utekelezaji
Nnaona umechanganyikiwa.
Au huelewi PPP ni nini?