Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hii n siasa n sawa na familia ya baba mama wawili utegemee kuna wazo jipya toka boma hizo mbili wakati mtawala ni mmoja.akiwa waziri walikua washauri wa rais kama baraza la mawaziri kwa nn haikushauriwa kipindi hicho yafanyike.sasa leo atavijenga kupitia wap?wakati boman n mlele.ikulu n taasisi asidhan n kujiamulia tuu
 
Jpm hajui kuwa kuuza viwanda ilikuwa si hiali yao Bali ni mashart ya IMF na world bank na mashart hay bado yanaendelea kwa nchi maskin kama Tanzania, mojakwamoja ni uongo wa mchana kweupe, serikali ilishajitoa katk biashara miaka 20 iliyopita Leo mtu anakuja na lugha za uongo.
 
Kama ni mkweli aanze kut

Kama mwanaume atuletee kwanza walioua viwanda then aanzie hapo!! Anachofanya Magufuli ni kujaribu kumkosoa JK bila kujitambua
 
[h=3]MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI AWASILI MKOANI RUKWA[/h]

​

CCM hawana tofauti na Magaidi... kama wanaamini Sera na ahadi zao zitawavusha then kwanini Wawafunge Mabinti waliovaa just tshirts za kumnadi Lowassa? .... CCM na Police wao should Bring our girls back ...
 
[h=3]MAGUFULI AFUNGA KAZI SUMBAWANGA MJINI[/h]

​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly .
​
Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ambapo mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
​
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini hapo.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na hatokuwa na simile na watendaji wazembe.
​
Mbunge wa Sumbawanga mjini Ndugu Aeshi Hilaly akihutubia wakazi wa Sumbawanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela ambapo CCM ilikuwa ikifanya mkutano mkubwa wa kunadi sera na mikakati yake kwa wananchi.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaonyesha ishara ya ushindi wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.

​
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja w
 
Jpm hajui kuwa kuuza viwanda ilikuwa si hiali yao Bali ni mashart ya IMF na world bank na mashart hay bado yanaendelea kwa nchi maskin kama Tanzania, mojakwamoja ni uongo wa mchana kweupe, serikali ilishajitoa katk biashara miaka 20 iliyopita Leo mtu anakuja na lugha za uongo.

Hivi mabadiliko mnayoyataka ni yapi?
 
hapa hatukuhitaji ahad tena kwa ccm bal tulihitaji kuendeleza/kuboresha. haiwezekan miaka 54 yote ni ahad tu. wameshindwa waachie ngaz.
 
Vijana wa Katavi na Sumbawanga wamelalamika na kulaani uwongo wa timu ya kampeni ya ccm kwamba Mgombea wa urais kupitia ccm angeambatana na Diamond Platinum kwenye kampeni katika mikoa hiyo. Diamond hakuwepo kutumbuiza wakati wa kampeni hizo za leo.

Source: Balozi Ten Cells- Mpanda
 
Unatakiwa ujifunze kuweka habari. Wewe kwanza tupe ushahid wa ahadi, HALAFU ndio ulalamike.

SASA , UPO WAPI USHAHID WA HIYO AHADI?

OLD FASHIONED UKAWA. MTAIFAHAMU NAMBA
 
Vijana wa Katavi na Sumbawanga wamelalamika na kulaani uwongo wa timu ya kampeni ya ccm kwamba Mgombea wa urais kupitia ccm angeambatana na Diamond Platinum kwenye kampeni katika mikoa hiyo. Diamond hakuwepo kutumbuiza wakati wa kampeni hizo za leo.

Source: Balozi Ten Cells- Mpanda

Kumbe wanafuata show za Diamond😱
 
attachment.php
 
Huyu naye ni mpumbavuu na lofa kabisa alikuwa meza kuu na walioua viwanda na alishirikiana nao kuuza nyumba za serikali,leo atarudishaje?
Muulize DIZELI CHAFU. Ataweza kusaidia nchi na kashfa ya Richmond inamshika koo. SASA ANAPANDA DALADALA ILI watu wamuonee huruma.

DSC09646.jpg
 
Angefanya lamaana angebeba ahadi zoote za jk azimalizie na sinkuja na mpya
 
Ninge muona ni mgombea mwenye kuleta matumaini endapo ataahidi kurudisha nyumba zetu kwanza. Hizi zipo chini ya uwezo wake maana yeye ndiye aliye ziuza na kugaia totos zake. Vinginevyo ni yale yale ya ahadi za kuigeuza Kigoma kuwa Dubai, na meli 3 kwenda Bukoba.
 
Back
Top Bottom