Hii ni SPECIAL THREAD itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Samiah Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nitakuwa naweka muendelezo kwa kila kampeni nchi nzima.
23 Agosti 2015: Uzinduzi wa Kampeni Viwanja vya Jangwani
View attachment 279916
24 Agosti, 2015: Kampeni Mkoa wa Katavi
View attachment 280004
hapa kazi tu tunagfanya kazi
Hii awamu ni awamu ya kazi tu mjiandae mliozoea kukaa kiulofa CCM MBELE KWA MBELE #hapakazitu
Uhuru bado lipo?
Mmeishiwa mbinu nyie malofa
Magufuli ni mwoga sana kupaa angani!
ccm wasipoteze ela zao bure maana hawatashinda uchaguzi
naona umetuamulia na mapicha ya mang'ombe.
nyie mang'ombe ndio mnaochelewesha maendeleo kuikumbatia ccm.
Picha Za Samia Akiwa Same Ziko Wapi?