Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Chanja mbuga Magufuli.CCM mbele kwa Mbele UKAWA wataisoma namba.HAPA KAZI TU

Ogopa sana magufuli style itawabwaga UKAWA vibaya sana. Lile tinga tinga kijiji kwa kijiji kuanzia asubuhi mpaka 12 jion. Tuone sasa Fisadi kama ataweza kupita kijiji kwa kijiji ataishia kupata mashabiki wa kwenye mitandao
 
Lizaboni hoyeee!

CNPA24ZU8AAxtyj.jpg
NYUMBANI KWA PINDA WAMETUPOKEA HUYU NDIYE MCHAPAKAZI MWENYE MAADILI MUWAJIBIKA NA MAAMUZI YENYE MASLAHI KWA TAIFA .
 
chama hakina fedha za kampeni, sababu za kitoto kweli, eti anataka kuona matatizo ya wa tz, kwani hayajui au yeye mgen nchi hii
 
chama hakina fedha za kampeni, sababu za kitoto kweli, eti anataka kuona matatizo ya wa tz, kwani hayajui au yeye mgen nchi hii

mmezoea chadema kuna pesa za kuoga za mafisadi.
 
viongozi wa CCM hawaoni umuhimu wa kupoteza pesa za walipa kodi, na kingine tupo fiti kiasi kwamba tunaweza tembea hata kwa miguu, sio kupanda mahelkopta na malift, hizo helkopta ni kwa ajili ya wagonjwa wanaofanya kampeni. Maana najua UKAWA kuna wagonjwa wengi halafu wanataka uongozi na ndiyo maana wanapenda kupanda helkopta na elevetors
 
Mwaka 2005 kikwete alisema hivyohivyo, kwamba hawezi kutumia helikopta, atatumia gari eti kwa sababu wananchi wanaishi chini. Lakini mwaka 2010 alitumia helikopta, sasa sijui wananchi walikuwa wameshahamia angani!
 
magufuli mbelembele anangoja kuapishwa tu.
 
Tangu Jumapili hadi Jumanne bado mnatumia picha hio hio? Maana ilibidi nisome tarehe na niangaliea na siku! Mbona hamkuweka picha za jana? Hahahaha LAKI si pesa njoo huku ujionee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom