polisi ni wetu sote hawamilikiwi na ccm. kila mtu ahitaji huduma zake. kosa amefanya lzm awajibike
Ni kweli kabisa watasababisha vita vya ukombozi kutoka kwa mkoloni mweusi ccm.
Hizi ni siasa na kipumbavu kabisa...
Kama chama hukipendi subiri October 25 itafika lakini sio kufanya vurugu
Wewe endelea kushangilia ujinga!,ukijikuta uko kwenye kambi ya WAKIMBIZI ndio utajua hapa namaanisha nini!
Unamaanisha kuwa mumeshikilia utamu na humta uachia mpaka tuwatoe kwa mtutu wa bunduki.
Utoto raha sana!Habarini Wakuu,
Mkutano wa mgombea mwenza wa Magufuli, Mh. Bi Samia Suluhu umekosa watu KABISA (ina maana hapakuwa na hata mtu mmoja) aliyeenda katika mkutano huo ili kusikiliza sera za mgombea huyo wa CCM. Sijui Chama Tawala cha CCM kimewakosea nini wananchi. Ushahidi huu hapa.
Malori ya kuwabeba hayakuwepo?
Msituwekee picha za zamani mbona Samia hayupo hapo.