Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

[h=3]MAGUFULI AENDELEZA KIPIGO MBOZI, HII SASA NI SAWA NA HIOSHIMA[/h]


HAKUNAGA KAMA MAGUFULI

Mgombea Uras wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mapema leo asubuhi katika mkutano wa kampeni maeneo ya Mbalizi wilaya ya Mbozi.

Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati mgombea huyo akielekea Chunya kwenye mkutano wa kampeni.

Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanya katika stendi ya mabasi Mbalizi.

Wafuasi na Washabiki wa CCM wakiwemo na Wananchi mbalimbali wakiwa wamefurika kwa shangwe kwa ajili ya kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mapema leo asubuhi kweny mkutano wa kampeni ndani ya wilaya ya Mbozi.

Wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli leo asubuhi wilayani Mbozi.



​

​


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]HIROSHIMA LA Magufuli MBOZI LEO LIVE!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]


​


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]HIROSHIMA LA MAGUFULI MBOZI HIYO LEO LIVE!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Soma picha usitazame picha -Uhalisia Magufuli ana kazi ngumu sijapata ona , wafuasi wake ni hao wanaokua na sare hapo mbele waliobaki UKAWA kinamama hao wa mbele ndio watu wa magufuli wengine UKAWA. Zadi hao watu ukiwalinganisha na wa Silinde utaona Maggie amefunikwa mbaya sasa fikiria Mbowe EL watie timu na Babu Duni balaaa UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
kazi anayo mbona ambao hawana unform wanamshangaa anashangiliwa na wanawake
 
magufuli ana kazi ya ziada na hivi polisi wanavoisaidia ccm ndio magufuli anajengewa chuki zaidi
 
Soma picha usitazame picha -Uhalisia Magufuli ana kazi ngumu sijapata ona , wafuasi wake ni hao wanaokua na sare hapo mbele waliobaki UKAWA kinamama hao wa mbele ndio watu wa magufuli wengine UKAWA. Zadi hao watu ukiwalinganisha na wa Silinde utaona Maggie amefunikwa mbaya sasa fikiria Mbowe EL watie timu na Babu Duni balaaa UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Naona unavyoumia..
haa ha ha Magufuli huyooo, malizua basi TingaTinga la Maendeleo!
 
kazi anayo mbona ambao hawana unform wanamshangaa anashangiliwa na wanawake

nimejaribu kuwahesabu hao kwenye picha iliyozungushiwa hapo juu nyuma na kati wanaonekana wakubwa wakubwa wanafika mia tatu na wale wadogowadogo wa pembeni wanafika mia mbili jumla mia tano ni jambo baya sana -ona na samia kule moshi arusha ,ishara ni mbaya kwa hiki chama
 
Jamaa kazomewa
[h=2]MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA[/h]




  • Wananchi wamkubali kwa uwezo wake wa kujieleza, sera ,ilani na mipango ya kuleta maendeleo huku akiwa yeye mweyewe bila kuwa na msururu wa watu wa kutanguliza kuhutubia.
  • Ahutubia mikutano mikubwa Laela, Tunduma,Isongile,Vwawa
  • Asema ataondoa urasimu mwingi serikalini
  • Elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne
  • Kuboresha huduma za afya haswa upatikanaji wa madawa
  • Kuboresha malipo pamoja na haki za walimu
  • Anaamini kwa anachokisema kwani amekuwa mfano katika kutimiza wajibu wake.
​

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma tayari kuhutubia mkutano wa kampeni.

​
Wananchi wa Tunduma wakizingira gari la mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Tunduma.
​
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akizungumza kabla mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John pombe magufuli hajahutubia wakazi wa Tunduma.
​
Wakazi wa Tunduma wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Tunduma .
​
Ni shamra shamra kila kona Tunduma
​
Hivi ndivyo Tunduma ilivyofurika
​
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la tunduma kupitia CCM Frank Sichalwe akitaja mambo ya msingi muhimu ambayo angependa wananchi wa Tunduma wayapate, alisema wananchi hao wanahitaji huduma bora ya afya, magari ya wagonjwa, zimamoto, kiwanja cha michezo, kushoto ni mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiandika hayo mahitaji.
​


​


​


​


​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akionyesha msisitizo wa yale anayoyasema kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Tunduma.

 
Jamaa kazomewa

Haa ha ha nipo Mkoani Mbeya kwenye kampeni za Magufuli, nyie mnaotunga vi habari vyenu endeleeni kumtanganya fisadi wenu maana bila hivyo hatawapa pesa.

Magufuli amepokelewa kwa shangwe kubwa Tunduma na sehemu zote mkoani Mbeya, tuliyoyaona hapa sio mnayojifariji kwenye mitandao, kila anapokanyanga Watanzania ni Magufuli, Ni CCM MPYA ISIYO NA MAFISADI, Wananchi wanamuita TINGATINGA LA MAENDELEO, HAPA NI KAZI TU!
 
Soma picha usitazame picha -Uhalisia Magufuli ana kazi ngumu sijapata ona , wafuasi wake ni hao wanaokua na sare hapo mbele waliobaki UKAWA kinamama hao wa mbele ndio watu wa magufuli wengine UKAWA. Zadi hao watu ukiwalinganisha na wa Silinde utaona Maggie amefunikwa mbaya sasa fikiria Mbowe EL watie timu na Babu Duni balaaa UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Hiki kipigo lazima kikupe mapigo makali sana ya moyo. Na bado. UTAISOMA NAMBA.
11228901_801015816683078_3402299991333790072_n.png
 
Haa ha ha nipo Mkoani Mbeya kwenye kampeni za Magufuli, nyie mnaotunga vi habari vyenu endeleeni, Magufuli amepokelewa kwa shangwe kubwa Tunduma na sehemu zote mkoani Mbeya.Hii namba nyingine, CCM MPYA ISIYO NA MAFISADI, MAGIFULI...TINGATINGA!
Safi sana Mkuu. Wape habari zao hao UKAWA
 
[h=3]MAGUFULI AENDELEZA KIPIGO MBOZI, HII SASA NI SAWA NA HIOSHIMA[/h]


HAKUNAGA KAMA MAGUFULI

Mgombea Uras wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mapema leo asubuhi katika mkutano wa kampeni maeneo ya Mbalizi wilaya ya Mbozi.

Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati mgombea huyo akielekea Chunya kwenye mkutano wa kampeni.

Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanya katika stendi ya mabasi Mbalizi.

Wafuasi na Washabiki wa CCM wakiwemo na Wananchi mbalimbali wakiwa wamefurika kwa shangwe kwa ajili ya kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mapema leo asubuhi kweny mkutano wa kampeni ndani ya wilaya ya Mbozi.

Wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli leo asubuhi wilayani Mbozi.



​

​


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]HIROSHIMA LA Magufuli MBOZI LEO LIVE!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]


​


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]HIROSHIMA LA MAGUFULI MBOZI HIYO LEO LIVE!![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Umekosea au unafanya makusudi,kati ya Magufuli na wananchi anaoongea nao nina ana muoa mwenzake?maana unachanganya mara Magufuli ana oa mara ana olewa.
 
Waache watu wafwaida baada ya kazi. Sio nyinyi mnalisha keki tu. Mtu mzima lazima ale. Hapo sasa.

HATA YESU ALILISHA WATU ELFU TANO BAADA YA MKUTANO.

Haa ha ha wao wanapanda helkopta alafu wenzao wanatembelea kwa miguu, watu wana roho mbaya sana hawa.

Nimefarijika sana kwa mapokezi ya Magufuli hapa Mbeya, Ushindi wa Kishindo unakuja.

Ikifika kwenye ahadi anawasisitizia wananchi akiwaangalia machoni, je sikuzote nimekuwa Waziri nimewahi kuwaangusha?hapo kila wananchi wakijaribu kukumbuka wanaishia tu kukubali tu kuwa huyu ni Tingatinga la Maendeleo.Tingatinga linalowaogofya mafisadi.Hii ndio CCM mpya,HAPA NI KAZI TU.
 
UKAWA wapo mitandaoni kutunga habari za uwongo uwongo tu. This time wanapigwa goli la tiktak. akitoka magufuli kabla moto haujazima inaingia timu nyingine mpaka siku 63 ziishe UKAWA mtakua mmeonyeshwa kazi ya kutosha nyie endeleeni na show game za Dar mmesahau kabisa majimbo
 
Back
Top Bottom