Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Naona unavyoumia..
haa ha ha Magufuli huyooo, malizua basi TingaTinga la Maendeleo!

Naona msisitizo sasa kwenye hizi kampeni ni attendance na sio sera alizomwaga mgombea! Naona CCM imejikita zaidi kwenye mafuriko, gharika, tsunami, alninyo, na sasa hiroshima. Sasa kama
Mbalizi kapata horoshima jangwani ilikuwa nini? Je akienda Mbeya mjini atapata nini! Maneno yatawaishia! Kampeni bado ni ndefu. But nadhani wingi wa watu sio kigezo kusema ukweli. Vyama vyote vikuu vimeonyesha kuwa vinaweza kuvuta crowd. Lets focus kwenye message ya wagombea
 
Soma picha usitazame picha -Uhalisia Magufuli ana kazi ngumu sijapata ona , wafuasi wake ni hao wanaokua na sare hapo mbele waliobaki UKAWA kinamama hao wa mbele ndio watu wa magufuli wengine UKAWA. Zadi hao watu ukiwalinganisha na wa Silinde utaona Maggie amefunikwa mbaya sasa fikiria Mbowe EL watie timu na Babu Duni balaaa UKAWA hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

huo ndo ujinga mlionao wafuata mkumbo? kuamn kila mtu anawasaport nyny tu..
 
[h=3]Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Monduli akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.[/h]
11907376_801280956656564_1959212746470333579_n.png


11223588_801281009989892_5619209298175172550_n.png


11902499_801280966656563_6231819205513951924_n.png


11891265_801281193323207_6655918612725953058_n.png


11885139_801281173323209_6792232170616984937_n.png
 
Huyo kijana mlemavu alienda kumuoa ..???? Duhh.....!!

Mbalizi ipo wilaya ya mbozi ????
 
Mbona wanahutubia miti. Ishh ile masai nakataa panda lori kama ngómbe?
 
Yaani monduli (Wilaya) nzima ndio hao tu waliokuja kumsikiliza??
 
Huyu mama anaibika huko arusha,anafanyiwa vituko vingi sana,upepo wa huko anaujua uko vp sasa anaenda kufanya nn?
 
Hakuna aliyerudisha kadi? Naona huu mchezo wa kuigiza wanataka kuuacha maana umeshashtukiwa.
 
Bila kutumia usafiri wa anga hawezi kuicheza ngoma ya kusafiri na gari katika maeneo mengi hapa Tanzania.

Bila kutanguliza wapambe kwenye mikutano yake, hawezi kusimama bila kukaa kwa saa moja achilia mbali wananchi kukielewa kile anachokiongea.

Kwa sasa kila anapofungua mdomo, wananchi wanajiuliza maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kujieleza achilia mbali afya yake.

Wakiwa wanasubiri kuanza kampeni, Magufuli kwa sasa yuko huku,



 
Last edited by a moderator:
Atahutubia bendera kama ilivyokuwa ktk soko la kilombero arusha ambapo bendera zlikuwa nyingi kuliko kina mama waliokuwa wanauza nyanya na wengine wachache waliohudhuria mkutano huo
 
Huyu mama anaibika huko arusha,anafanyiwa vituko vingi sana,upepo wa huko anaujua uko vp sasa anaenda kufanya nn?

Hiyo ndo maana halisi ya ujasiri.
Hakuna kukwepa kazi ngumu
Sasa ukiogopa kupiga kampeni mahali pagumu utawezaje kupambana na mafisadi na kudhibiti vitisho dhidi yako?
Chadema wangekuwa na uoga kama wako kisingekua chama kikubwa leo
 
Lets see kesho Jangwani....Jk atasema ni Photoshop au ni wanafunzi... mr.chin
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nimsifu huyu mama, maana kwa Monduli ninayoifahamu amethubutu. Na hata hao watu waliokwenda kumsikiliza ni wengi saana, kwa sababu kwa hali iliyopo Monduli sasa nilitegemea asingepata watu kabisa.
 
Back
Top Bottom