Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.

Umoja ni Ushindi

miaka 54 tanzania bado ni nchi iliyopo kwenye mstari mwekundu kwa umasikini uliokithiri we unajitekenya na hako kamsema huku ukicheka hapakaz tu. Muulize jk mwenyewe aliingia mbwembwe nying juz anasema hajui kwann tz ni nchi maskini.
 
Mwalimu wa chekechea,mwisho wa Siku anakuwa na akili za kitoto. Daktari wa vichaa, baadae anakuwa kama kichaa. Yule wa mochwari, baada ya muda anakuwa kama maiti. Ukiishi na ng'ombe, akili pia kama ya ng'ombe. Eti mchungaji akihama anahama na ng'ombe wake.
 
Haingii akili ushindwe kuendeleza viwanda alafu ujenge vipya.Tuambie vile vilikufa vipi? Nani alisababisha na umemchukulia hatua ipi kwa kosa hilo?
 
Amuulize jk kwann mpaka anaondoka hospital Hazina dawa....Kwikwikwikwi
Magamba kweli kaZi mnayo mwaka huu

mi nawashangaa hawa mambumbu wametawaliwa miaka mingi lakini nchi bado ipo kwenye mstar wa nchi maskini. Hawaon, hawaskii na hata ukiwaeleza hawaelew. Hawajui mfumo uliopo haufai tena kwa kuwa utatupeleka pabaya. Wao wakiambiwa hapakaz wanacheka hawa mapimbi.
 
Hivi tunatafuta dereva au rais?huyo wa kukurupuka anahitaji kupiga kampeni maana hajulikani,Lowasa ni kusalimia tu kura tayari.

Makufuli hata akiongea masaa 6 ni pumba tupu,anashanga maji hakuna,dawa hakuna,barabara hakuna,madawati nk.Ni juha tu anayeweza kusikiliza maana yy na chama chake na walioporomosha matusi ndio waasisi wa vyote hivyo.
 
KWANINI CCM INA MKAKATI WA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA 2015-2020

Azwamu ya nne chini ya Mh. Prof. Kikwete imeweka mazingira rafiki na mazuri kwa kuanzishwa na kujengwa kwa viwanda hapa nchini.

Kujengwa na kuimarishwa kwa barabara za lami zinazounganisha mikoa na nchi za mipakani

Kujengwa na kuimarishwa kwa viwanja vya Ndege katika maeneo ya Mwanza, Kilimanjaro, Kigoma, Mbeya, Mtwara,.Tabora, Dodoma na Zanzibar.

Kukamilika wa bomba la gesi toka Mtwara kuja Dar kunatoa uhakika wa uwepo wa nishati ya uhakika na kwa gharama nafuu zaidi.

Kuimarishwa kwa bandari za Dsm, Zanzibar, Tanga na Mtwara

Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya yenye ubora wa kimataifa yaani standard gauge toka Dar, Tanga,Arusha, Kigali na Uganda

Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya ya kusini

Uchumi wa viwanda unataka nishati ya uhakika na nafuu, miundombinu bora, malighafi na utulivu wa kutosha. Kwa sasa vyote tunavyo.
Zaidi ni kupata kiongozi atakayesimamia na kuimarisha maendeleo kwa kasi zaidi.

TANZANIA KWA SASA TUNAHITAJI KIONGOZI MWADILIFU,ASIYE NA MAKUU,MWENYE KUTAKA MAENDELEO KWA KASI ZAIDI NA ANAEJUA SHIDA ZA WANAINCHI WAKE:

JOHN POMBE MAGUFULI kwa sasa anazo sifa zote stahiki za kuwa kiongozi wa Tanzania.
HAPA NI KAZI TU.

Mwenye uwezo wa kufanya hizo changes ni Lowassa,
 
Mkuu MwanaDiwani jitaidi kupost Thread za kutosha za Huyo Mkandarasi wenu leo.

Maana kesho Tegemeo la Watanzania likisha zindua pale Jangwani itakuwa mwendo Mdundo mpaka October 25.

Sasa tumia muda wako vizuri umebakiza saa chache za kumtangaza huyo Mkandarasi.
 
Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.

Umoja ni Ushindi

Kazi kwenu ni EPA, Richmond, Escrow, Sembe, Twiga kwenda nje ya nchi, wizi, uwongo.
Hizo ndizo kazi zenu
 
Nimejaribu kufuatilia na kugundua toka harakati za uchaguzi kuanza kuna member wapya na wengine humu wameweka au kufungua 2nd mpaka 3rd new member na kutumia avatar tofauti kwa lengo wanalolijua wao, inasikitisha na kuchekesha sana.

Moja ya kichekesho, wanaanzisha topic akafu yeye mwenyewe ana_comment iwe vibaya au vizuri ili kupata mrejesho hasi/chanya toka kwa wengine.

Inaposikitisha ni pale anapokuja kama aliyetumwa na mgombea flani hata kama halina mantiki, mfano hii topic.
 
Ndugu,
Unasema usanii?

Hufahamu kuwa kuna mgombea Urais wa Tanzania ambaye ana degree ya maigizo.

Majibu ya maswali yako yanapatikana ukiangalia hizo video.

Kama taasisi ya U Rais kigezo ni afya basi CCM ingempitisha Juma Ikangaa!

Nikikitazama kichinjio changu pale juu kabatini huwa nacheka mwenyewe
 
Kujenga viwanda wapi si ndio wao walioviua Leo wavitengeneze acha utoto , hizo ni mbinu za kisiasa mwenye akili haambiwi achungulie kwenye tanuru LA moto
 
Back
Top Bottom