Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Bila kutumia usafiri wa anga hawezi kuicheza ngoma ya kusafiri na gari katika maeneo mengi hapa Tanzania.

Bila kutanguliza wapambe kwenye mikutano yake, hawezi kusimama bila kukaa kwa saa moja achilia mbali wananchi kukielewa kile anachokiongea.

Kwa sasa kila anapofungua mdomo, wananchi wanajiuliza maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kujieleza achilia mbali afya yake.

Wakiwa wanasubiri kuanza kampeni, Magufuli kwa sasa yuko huku,





Tandale One naona yupo likizo kwanza!Mwanadiwani amekamata shifti.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu anatumia chopa jua moja kwa moja huyo ni mwanamabadiliko. Maendelea kwa sasa ni vitendo, gari unaweza kutumia lakini kuokoa muda na kwenda kwenye kasi ya maendeleo chopa ni muhimu sana kwa sasa. Umaskini sasa basi wenye chopa tumieni tumechoka na umaskini wa ccm. Hatudanganyiki tena tunataka ndege za kutosha hapa nchini siyo wewe na vibaka wenzako ndo mpande ndege peke yenu, hata mkulima tunataka apande ndege.
 
kazi anayo mbona ambao hawana unform wanamshangaa anashangiliwa na wanawake
Kamanda wanawake ndiyo wapiga kura huwezi kumkuta mwanamke kwenye maandamano utawakuta kwenye foleni ya kupiga kura.
 
Kusema za ukweli Magufuli anatufaa kuwa Rais wetu.Hana uchama ulee waliokuwa nao Lowasa, ana kikosi kıkubwa na hvyo kuunda team ya kuanza mechi(cabinet) sı kazı.Ni mwamınifu na ni Rais kuamini anachokueleza.Lowasa akıwa yeye haamini amejiunga na kundi ambalo linatia shaka sana hasa baada ya akina Slaa kuondoka, kundi ni mabepari akina Mtei, Ndesa na Mbowe.
 
Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.

Umoja ni Ushindi

Ninashangaa kwa nn hospital hamna dawa
Ninashangaa kwa nn vijana hawana ajira
Ninashangaa kwa nn TZ haina hata kiwanda kimoja cha kusindika samaki(Aliwahi kuwa hadi Waziri wa uvuvi)
Nashangaa kwa nn akina mama wanateseka kwa kutopata maji
Leo Kyela atashangaa kwa nn tuna barabara mbaya

What I can see ni usanii alio rithi toka kwa JK!Hakika watz sasa ni wkt muafaka wa kuwakataa hawa wasanii

MAGUFULI IS JK's THIRD TERM!Tukatae
 
Bila kutumia usafiri wa anga hawezi kuicheza ngoma ya kusafiri na gari katika maeneo mengi hapa Tanzania.

Bila kutanguliza wapambe kwenye mikutano yake, hawezi kusimama bila kukaa kwa saa moja achilia mbali wananchi kukielewa kile anachokiongea.

Kwa sasa kila anapofungua mdomo, wananchi wanajiuliza maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kujieleza achilia mbali afya yake.

Wakiwa wanasubiri kuanza kampeni, Magufuli kwa sasa yuko huku,




Ndugu tumia akili ya kawaida! Wananchi hawaitaki CCM,Hayo yote kwenye ilani mlikua wapi 54 yote.Wananchi wanasema wanaenda kusikiliza tu sio kupiga kura, kwamba mabadiliko ni lazima CCM itatumia miujiza gani kutekeleza ilani yake wakati imeshindwa miaka yote 54.
 
Last edited by a moderator:
Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.

Umoja ni Ushindi
Magufuli anabeza utendaji wa Kikwete mbele ya wananchi! Subiri moto wa UKAWA uanze,ni kufuta kote alikopitia Magufuli na mkae kimyaa!
 
Ninashangaa kwa nn hospital hamna dawa
Ninashangaa kwa nn vijana hawana ajira
Ninashangaa kwa nn TZ haina hata kiwanda kimoja cha kusindika samaki(Aliwahi kuwa hadi Waziri wa uvuvi)
Nashangaa kwa nn akina mama wanateseka kwa kutopata maji
Leo Kyela atashangaa kwa nn tuna barabara mbaya

What I can see ni usanii alio rithi toka kwa JK!Hakika watz sasa ni wkt muafaka wa kuwakataa hawa wasanii

MAGUFULI IS JK's THIRD TERM!Tukatae
Ndugu,
Unasema usanii?

Hufahamu kuwa kuna mgombea Urais wa Tanzania ambaye ana degree ya maigizo.

Majibu ya maswali yako yanapatikana ukiangalia hizo video.
 
Amuulize jk kwann mpaka anaondoka hospital Hazina dawa....Kwikwikwikwi
Magamba kweli kaZi mnayo mwaka huu
 
Ndugu tumia akili ya kawaida! Wananchi hawaitaki CCM,Hayo yote kwenye ilani mlikua wapi 54 yote.Wananchi wanasema wanaenda kusikiliza tu sio kupiga kura, kwamba mabadiliko ni lazima CCM itatumia miujiza gani kutekeleza ilani yake wakati imeshindwa miaka yote 54.
Ndugu,
Kama maandiko huwezi kusoma, hata video huwezi kuangalia?

Sina zaidi!
 
Tangu saa kumi na moja alfajiri zimepitishwa pa kila kona na nyimbo za wasanii kama Diamond na wengineo wakinadi kuwa mkutano huo utapambwa na wasanii wengi wa ndani na wa kimataifa.

Hii ni baada ya kugundua kuwa CCM hatuna mvuto tena,lakini pamoja na hayo wananchi hawana mwamko hata wa kusikiliza kitu.Tuendelee kufahamishana kinachojili kwa uhakika na ukweli.Yawezekana watu wakafika kuona tamasha la wasanii kama diamond na wengineo wa kimataifa kama inavyotangazwa lakini siyo sera zetu ccym.
 
KWANINI CCM INA MKAKATI WA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA 2015-2020

Azwamu ya nne chini ya Mh. Prof. Kikwete imeweka mazingira rafiki na mazuri kwa kuanzishwa na kujengwa kwa viwanda hapa nchini.

Kujengwa na kuimarishwa kwa barabara za lami zinazounganisha mikoa na nchi za mipakani

Kujengwa na kuimarishwa kwa viwanja vya Ndege katika maeneo ya Mwanza, Kilimanjaro, Kigoma, Mbeya, Mtwara,.Tabora, Dodoma na Zanzibar.

Kukamilika wa bomba la gesi toka Mtwara kuja Dar kunatoa uhakika wa uwepo wa nishati ya uhakika na kwa gharama nafuu zaidi.

Kuimarishwa kwa bandari za Dsm, Zanzibar, Tanga na Mtwara

Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya yenye ubora wa kimataifa yaani standard gauge toka Dar, Tanga,Arusha, Kigali na Uganda

Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya ya kusini

Uchumi wa viwanda unataka nishati ya uhakika na nafuu, miundombinu bora, malighafi na utulivu wa kutosha. Kwa sasa vyote tunavyo.
Zaidi ni kupata kiongozi atakayesimamia na kuimarisha maendeleo kwa kasi zaidi.

TANZANIA KWA SASA TUNAHITAJI KIONGOZI MWADILIFU,ASIYE NA MAKUU,MWENYE KUTAKA MAENDELEO KWA KASI ZAIDI NA ANAEJUA SHIDA ZA WANAINCHI WAKE:

JOHN POMBE MAGUFULI kwa sasa anazo sifa zote stahiki za kuwa kiongozi wa Tanzania.
HAPA NI KAZI TU.
 
Ndugu,
Unasema usanii?

Hufahamu kuwa kuna mgombea Urais wa Tanzania ambaye ana degree ya maigizo.

Majibu ya maswali yako yanapatikana ukiangalia hizo video.
MwanaDiwani hii si ya hadhi yako,usiende chini kiasi hiki.
Nyerere alikuwa na degree ya nini?
 
Lowasa hauwezi mziki wa Magufuli jana nimemshuhudia kaongea dakika 5 tu tena pumba tupu
 
Mwenye akili atachambua vyema, JIZI kuwa rais nikuota ukitembea
 
Mkimaliza mtuambie tuanze kupitisha chopper kila kona ya nchi maana umasikini wenu umefanya mjinadi kutumia magari kumbe hohehahe.Teh teh.Huruma
 
Back
Top Bottom